Recent content by Usinene kwa hasira

  1. U

    Ushauri: Binti wa kiarabu ananipenda lakini mama yake hanitaki

    Shukran mkuu. Baada ya hapo unamuita binti unamuga kwa shughuli nzito kisha unamuambia aende nyumbani kuna tatizo La kutatua na mama yake, asikutafute mpaka atakapolitatua.
  2. U

    Ushauri: Binti wa kiarabu ananipenda lakini mama yake hanitaki

    Mama nakuheshimu. Tafadhali mambo ya familia yenu yamalize ndani ya familia yenu. Sijawahi kukupa taarifa kuwa Nina mahusiano ya kimapenzi na mwanao, wala wazee wangu hawajawahi kuleta posa. Utakapotuma tena ujumbe wa aina hii nitachukua hatua, Na kwa kabila letu hatua hufanyiwa kazi na ukoo...
  3. U

    Nimekataliwa ukweni kisa kabila langu

    Mchumba wako ndo hakutaki, ilitakiwa aseme baba Nina ujauzito nahisi ni mapacha.
  4. U

    Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

    Umekosa busara. Endelea na kutafuta bikra, na wanao wa kike waolewe wakiwa bikra kama ulivyomkuta mama yao.
  5. U

    Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

    Najua maana yake. Nataka nione kama tafsiri uliyo nayo ni sahihi maana unaitumia sehemu isiyohisika.
  6. U

    Wanaume wanaopenda kununa

    Well, wanawake hamuwaelewi wanaume. Embu Siku kanuna mfuatilie anafanya nn siku nzima? Kama upo nae hapo nyumbani na kakununia basi huyo hana tabia za mwanaume.
  7. U

    Rais wa Zanzibar, Dkt. Mwinyi amemteua Nassor Mazrui na Omar Said Shaaban kuwa wajumbe wa Baraza la Wawakilishi

    Hakuna ulaji hapo! Hao walioteuliwa hawana njaa, Regardless ya walichofanyiwa Vijana wanatakiwa wapunguzwe jazba, hasira ziondoke na Zanzibar iwe tulivu. Kama Mazrui kasamehe na wao watasamehe. Au ulitaka fujo na hasira ziendelee? Zanzibar isiwe na amani na watu waendelee kupoteza maisha!?.
  8. U

    ACT-Wazalendo kushiriki SUK: Maoni ya Tundu Lissu

    Lissu pole kwa yaliyokukuta, nikukumbushe tu Hakuna baya utakalomuombea usiyempenda lisiikumbe Tanzania maana Watanzania wamekubali waongozwe naye. Upo katika hali ya juu kabisa ya kipimo cha upendo wako kwa taifa Tanzania.
  9. U

    Ni kwanini vijana wengi siku hizi hawana raha na ndoa zao? Tatizo ni nini?

    huyo ni inspirational speaker wa tafuteni bikra. Yupo kazini. Utachoka bure.
  10. U

    Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

    Nungayembe maana yake nn? Ukute hatuelewani.
  11. U

    Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

    Biblia au Koran haijasema kazi ya kuhukumu ni yako. Wewe oa bikra kazi ya hukumu kwa waliofanya makosa mwachie MUNGU. Wanaume wa kuoa wanawake waliopata watoto iwe waliwapata kwa tabia za kihuni au kwa kutelekezwa wapo na wataendelea kuwepo regardless ya inspiration speech za kuwahimiza...
  12. U

    Ukweli mchungu: Wahafidhina wa CHADEMA mjiandae kisaikolojia

    Kwenye suala la kina halima hakuna anaye shindana na chadema. Ni mambo yao ya chama.. Labda spika na mahakama au msajili ndo anaweza kuingilia na kila mmoja ana mipaka hakuna anayeshindana nao. Hao wanaojiona wameshinda labda ni wale wapiga kelele mitandaoni.
  13. U

    Ukweli mchungu: Wahafidhina wa CHADEMA mjiandae kisaikolojia

    Wapinzani ni binadamu. Wataelewa na kutoa ushirikiano. Japo wapo wachache watakaokua wabishi na wapingaji ila still wasizidishiwe hasira kwa kuwananga. RAISI NI JPM NA CCM NDO KINATAWALA HIYO INATOSHA.
  14. U

    Ukweli mchungu: Wahafidhina wa CHADEMA mjiandae kisaikolojia

    Hakuna mkate mgumu mbele ya chai ndo nini? ACT baada ya kufanya tathmini na kuona kwa sasa ili kuisaidia TZ ni lazima kushirikiana na serikali. Misemo ya mikate na chai sijui ulaini haina maana. Inachochea hasira kwa wapinzani.
Back
Top Bottom