Recent content by ushuzi.1

  1. U

    JamiiForums Tanzania Rais Samia afanya Uhamisho, Uteuzi na Utenguzi wa nafasi mbalimbali. Angela Kiziga ateuliwa kuwa Mbunge

    Wizara ya michezo mwana FA yupo ?
  2. U

    JamiiForums Tanzania Rais Samia afanya Uhamisho, Uteuzi na Utenguzi wa nafasi mbalimbali. Angela Kiziga ateuliwa kuwa Mbunge

    Huenda akawa waziri wa wzara gani?
  3. U

    JamiiForums Tanzania CCM walivyowanyoosha COVID-19 toka CHADEMA hadi raha!

    Watavuna walichopanda
  4. U

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Bunge linavunjwa kesho, Watanzania tusirudie makosa tuliyofanya 2020

    Kuna shida kubwa
  5. U

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Vijana wafurika kwa Makonda kufanya 'interview'

    Kazi kweli kweli
  6. U

    JamiiForums Tanzania Uamuzi wa kujenga Majengo ya Serikali Dodoma ni Uamuzi wa Kipuuzi, wanaoshangilia ni wajinga

    Ulimwengu wote majiji ya biashara kubwa huwa huru na Serikali hukaa miji isiyo na hekaheka nyingi
  7. U

    JamiiForums Tanzania Uamuzi wa kujenga Majengo ya Serikali Dodoma ni Uamuzi wa Kipuuzi, wanaoshangilia ni wajinga

    Andiko bora kwa kigezo gani❓yaani kisa unataka watu wajazane Dsm misongamano kama Karachi Pakistan ikitokea mlipuko wa magonjwa kama kipindupindu Nchi inadhoofika kwa kasi ya kutisha, acheni ujinga kukariri maisha ya foleni za Dar ambazo kila siku zinalitia Taifa hasara kubwa kimaendeleo...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Uamuzi wa kujenga Majengo ya Serikali Dodoma ni Uamuzi wa Kipuuzi, wanaoshangilia ni wajinga

    Dodoma kuwa mji mkuu ni sahihi kabsa
  9. U

    JamiiForums Tanzania Uamuzi wa kujenga Majengo ya Serikali Dodoma ni Uamuzi wa Kipuuzi, wanaoshangilia ni wajinga

    Hata kenya makao makuu ya mkoloni yalianzia mombasa
  10. U

    JamiiForums Tanzania Uamuzi wa kujenga Majengo ya Serikali Dodoma ni Uamuzi wa Kipuuzi, wanaoshangilia ni wajinga

    Uzalendo ni kusambaza maendeleo kote siyo kubanana Dsm huku miji mingine ikidumaa kimaendeleo
  11. U

    JamiiForums Tanzania Uamuzi wa kujenga Majengo ya Serikali Dodoma ni Uamuzi wa Kipuuzi, wanaoshangilia ni wajinga

    Uzalendo ni kubana Dar kisha mikoa mingine kukosa maendeleo ❓
  12. U

    JamiiForums Tanzania Uamuzi wa kujenga Majengo ya Serikali Dodoma ni Uamuzi wa Kipuuzi, wanaoshangilia ni wajinga

    Hayakuwa maamuzi ya hovyo wahamie huko jiji lipumue misafara inakwamisha maendeleo jiji la Dsm lipo pembeni kila mmoja anahamis huko matokeo yake miji mingi inadumaa kukua haraka, Dodoma ipo katikati itaharakisha ukuaji wa maendeleo na kupunguza misongamano jiji Dsm
  13. U

    JamiiForums Tanzania Mzee Malecela kupokelewa na Haji Manara kiukweli CCM DSM hamjamtendea haki!

    Marehemu aliishi kihuni alikuwa na miaka 60 lakini bado akawa chawa wa Devis mosha
Back
Top Bottom