Recent content by Ushauri wa mpita njia

  1. U

    JamiiForums Tanzania Uzushi uliozushwa katikati ya kilele cha maandamano

    Jeshi lilikuwa upande wa raia ila mkuu wa majeshi alikua upande wa mgombea sa ilipo gundulika hivo mkuu wa majeshi alitoa amri moja"kila mwanajeshi aende kambini kwake"wanajeshi wakaondoka mtaani wakabaki waganda,wasouthafrika na wakenya hawa kauli ilikuwa moja tu;watanzania mko milioni 70...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Tunapaswa kuendelea kuisimimasha nchi kwa maandamano bila kikomo tuhakikishe wakina PolePole wanaachiliwa wahuni watuachie nchi yetu

    Hata mimi mimesikia wamemwokota ufukweni ametobolewa macho pia amechomwa ubavuni alikuwa tayari amekufa,tarehe 1 octoba majira ya saa12 jion nikasikia yule ponjoro wa kinondoni ( kwa mjibu wa askofu gwajima)amepigwa chuma na wahuni,sa kikubwa kuwa makini ktk kipindi hiki kwani propaganda ni...
  3. U

    JamiiForums Tanzania GE2025 Amnesty International yalaani vikali Mauaji na Matendo ya kikatili ya ukiukwaji haki za binadamu yaliyoendelea wakati Mtandao ulipofungwa

    Hata mimi huwa nashindwa kuelewa,wakija na hili serikali huwa inakanusha,pia huwa inajibu kibabe eti,hakuna wa kutupangia kuna siku msigwa aliwajibu u.s.a kibabe,sa huwa najiuliza au 2po level moja na russia?
  4. U

    JamiiForums Tanzania Dorothy Gwajima, Paul Makonda na Jumaa Aweso majina yao ni miongoni mwa wanaoweza kuteuliwa kuwa Waziri Mkuu

    Dorothy hana shida,tatizo"gwajima"hilo jina wakulungwa hawataki hata kulisikia kwanza wanaona kichefuchefu,,,.
  5. U

    JamiiForums Tanzania Leo waarabu na wazungu wameungana katika bara letu kujadili Gaza bila kutaja hata neno Afrika wala kutuhusisha

    Mgogoro unahusu waarabu na wayahudi ,wazungu ndio wasuluhishaji,!sa unataka waafrika wakafanye nini?
  6. U

    JamiiForums Tanzania PICHA: Chumba ambapo Polepole alikuwa akirekodia, akionekana na Ile Black Screen nyuma

    Osama mwenyewe alinaswa na wabongo,so wabongo sio mafala kama alivyo dhani!
  7. U

    JamiiForums Tanzania Huyu mgombea amesema atanunua trekta milioni 10, huu ni uongo wa kutisha

    Kifupi umeelewa,kwa taarifa yako; Afrika hakuna wasomi!usomi wa Afrika ni kujua kuzungumza kiingereza kwa ufasaha kama unabisha mwambie profesa wa uchukuzi wa Afrika atengeneze kachombo kokote ka usafiri wa anga akarushe walau km 1.
  8. U

    JamiiForums Tanzania Huyu mgombea amesema atanunua trekta milioni 10, huu ni uongo wa kutisha

    Kiwanda kinahitaji mambo 3,1: area for investment,mkiambiwa ondokeni mpishe uwekezaji mna lalamika 2:rawmatilial,hapa hamudili na uzalishaji kutwaa ni kushinda vijiweni kujadili watawala!3: market,hapa hakuna shaka masoko yapo!
  9. U

    JamiiForums Tanzania Subiri tuone tunakoelekea uchaguzi huu

    Bora huyu anawasaidia watanzania kuliko yule ambaye alikua anafaidi peke yake,akiombwa anawaambia wafanye kazi!
  10. U

    JamiiForums Tanzania Subiri tuone tunakoelekea uchaguzi huu

    We unataka wafurahie nini?
  11. U

    JamiiForums Tanzania Imewezekanaje Harbinder Sethi kushiriki siasa za CCM huku akiwa ni raia wa Kenya?

    Okelo alikuwa mgogo au?kama okelo aliwasaidia mkapata uhuru iweje muone nongwa kwa nduguye ambaye anafaidi jasho la mkenya mwenzie?au shukurani ya punda?
  12. U

    JamiiForums Tanzania Imewezekanaje Harbinder Sethi kushiriki siasa za CCM huku akiwa ni raia wa Kenya?

    Unaamini uhuru wa nchi hii ulipiganiwa na watanzania pekee?
  13. U

    JamiiForums Tanzania Kwanini utajiri mkubwa hapa Tanzania unamilikiwa na Watanzania wenye asili ya Asia

    Nchi watokazo zimebarikiwa na Mungu,zenu zimelaaniwa
Back
Top Bottom