Dorothy Gwajima, Paul Makonda na Jumaa Aweso majina yao ni miongoni mwa wanaoweza kuteuliwa kuwa Waziri Mkuu

Hapa bado kwa walitajwa hapa! Binafsi namtazama zaidi Dotto Biteko na bila shaka kuteuliwa kuwa Naibu Waziri Mkuu ilikuwa ni kupata uzoefu zaidi!

Ila tusubiri tuone ila kwa Makonda kazi itakuwepo, Aweso anafanya kazi nzuri ila bado kushika nyadhifa kubwa kama hii
==============
Majina ya vigogo hao watatu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) — Mhe. Paul Makonda, Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima, na Mhe. Jumaa Aweso — yameanza kutajwa kuwa miongoni mwa wanaoweza kuteuliwa kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, endapo mabadiliko ya uongozi yatahitajika baada ya uchaguzi mkuu.

Wananchi na wachambuzi wa siasa wanasubiri kwa hamu kuona iwapo Rais Samia Suluhu Hassan atafanya mabadiliko yoyote katika safu ya juu ya uongozi wa serikali. Majina haya yameibuliwa kutokana na rekodi zao za kiuongozi, weledi na umaarufu ndani ya chama na serikali.

Paul Makonda
Aliwahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na baadaye Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM. Anajulikana kwa kauli thabiti, utendaji wa haraka, na uwezo mkubwa wa kushawishi makundi ya vijana.

Dkt. Dorothy Gwajima
Ni Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum. Amewahi pia kushika Wizara ya Afya. Ana rekodi nzuri ya utumishi wa umma, na ni mtaalamu wa utawala wa afya kwa zaidi ya miaka 20.

Jumaa Aweso

Ni Waziri wa Maji, anayesifika kwa usimamizi wa miradi mikubwa ya maji vijijini na mijini. Amejipatia umaarufu kutokana na ukaribu wake na wananchi na uwezo wa kusimamia utekelezaji wa sera

Je ni yupi anafaa endapo ikitokea kama inavyosemekana* ?

View attachment 3497300View attachment 3497301View attachment 3497302
Makonda for prime minister? U can't be serious 😅😅😅😅
 
Taifa liko kwenye majonzi wewe unawaza jinsi wanasiasa watakavyoneemeka kwenye teuzi. Hili taifa lina mijitu misenge sana
 
Makonda akiwa waziri mkuu nahama Tanzania Mapema January mwakani..

Fikiria Samiu,jumlisha bashite awe waziri mkuu,tutakua na nini ?A clown republic???
Form 4 failures ndio waongoze utendaji wa serikali, si balaa hili
 
Hapa bado kwa walitajwa hapa! Binafsi namtazama zaidi Dotto Biteko na bila shaka kuteuliwa kuwa Naibu Waziri Mkuu ilikuwa ni kupata uzoefu zaidi!

Ila tusubiri tuone ila kwa Makonda kazi itakuwepo, Aweso anafanya kazi nzuri ila bado kushika nyadhifa kubwa kama hii
==============
Majina ya vigogo hao watatu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) — Mhe. Paul Makonda, Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima, na Mhe. Jumaa Aweso — yameanza kutajwa kuwa miongoni mwa wanaoweza kuteuliwa kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, endapo mabadiliko ya uongozi yatahitajika baada ya uchaguzi mkuu.

Wananchi na wachambuzi wa siasa wanasubiri kwa hamu kuona iwapo Rais Samia Suluhu Hassan atafanya mabadiliko yoyote katika safu ya juu ya uongozi wa serikali. Majina haya yameibuliwa kutokana na rekodi zao za kiuongozi, weledi na umaarufu ndani ya chama na serikali.

Paul Makonda
Aliwahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na baadaye Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM. Anajulikana kwa kauli thabiti, utendaji wa haraka, na uwezo mkubwa wa kushawishi makundi ya vijana.

Dkt. Dorothy Gwajima
Ni Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum. Amewahi pia kushika Wizara ya Afya. Ana rekodi nzuri ya utumishi wa umma, na ni mtaalamu wa utawala wa afya kwa zaidi ya miaka 20.

Jumaa Aweso

Ni Waziri wa Maji, anayesifika kwa usimamizi wa miradi mikubwa ya maji vijijini na mijini. Amejipatia umaarufu kutokana na ukaribu wake na wananchi na uwezo wa kusimamia utekelezaji wa sera

Je ni yupi anafaa endapo ikitokea kama inavyosemekana* ?

View attachment 3497300View attachment 3497301View attachment 3497302
Taifa linahitaji uponyaji na sii kejeli,dharau wala upotoshaji ama uchawa unaolitafuna taifa.Hivyo kama taifa tunapitia kipindi kinacho hitaji kila aliyelala na kuona,hahusiki na hili taifa anahitaji kuhakikisha anapoweza kuwa macho kwa manufaa ya taifa hili!
 
Hahahaha Ila watanzania bhn sasa Dorothy Gwajima ni mbunge wa kuchaguliwa wa jimbo gani? Kiranga
Watanzania wengi hawaijui katiba yao.

Wengine wanadai katiba mpya wakati hii ya sasa hawaijui.

Juzi nilikuwa sehemu nafafanua kitu kwa kusoma katiba, kile kitendo cha mimi kusoma katiba tu kiliwafanya watu waniite "wakili msomi" wakati mimi wala si wakili.

Katika akili zao, mtu yeyote anayefafanua mambo kwa kusoma katiba lazima anakuwa "wakili msomi" tu.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Haya yafaa Nini wakati huu, taifa lipo kwenye msiba mzito
 
Hiv wabunge wa upinzani, hususan Chauma ni wangapi?
Au kutakuwa na kuteuliwa kuongeza idadi ili kuupata mchezo covid19
 
Hapa bado kwa walitajwa hapa! Binafsi namtazama zaidi Dotto Biteko na bila shaka kuteuliwa kuwa Naibu Waziri Mkuu ilikuwa ni kupata uzoefu zaidi!

Ila tusubiri tuone ila kwa Makonda kazi itakuwepo, Aweso anafanya kazi nzuri ila bado kushika nyadhifa kubwa kama hii
==============
Majina ya vigogo hao watatu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) — Mhe. Paul Makonda, Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima, na Mhe. Jumaa Aweso — yameanza kutajwa kuwa miongoni mwa wanaoweza kuteuliwa kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, endapo mabadiliko ya uongozi yatahitajika baada ya uchaguzi mkuu.

Wananchi na wachambuzi wa siasa wanasubiri kwa hamu kuona iwapo Rais Samia Suluhu Hassan atafanya mabadiliko yoyote katika safu ya juu ya uongozi wa serikali. Majina haya yameibuliwa kutokana na rekodi zao za kiuongozi, weledi na umaarufu ndani ya chama na serikali.

Paul Makonda
Aliwahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na baadaye Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM. Anajulikana kwa kauli thabiti, utendaji wa haraka, na uwezo mkubwa wa kushawishi makundi ya vijana.

Dkt. Dorothy Gwajima
Ni Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum. Amewahi pia kushika Wizara ya Afya. Ana rekodi nzuri ya utumishi wa umma, na ni mtaalamu wa utawala wa afya kwa zaidi ya miaka 20.

Jumaa Aweso

Ni Waziri wa Maji, anayesifika kwa usimamizi wa miradi mikubwa ya maji vijijini na mijini. Amejipatia umaarufu kutokana na ukaribu wake na wananchi na uwezo wa kusimamia utekelezaji wa sera

Je ni yupi anafaa endapo ikitokea kama inavyosemekana* ?

View attachment 3497300View attachment 3497301View attachment 3497302
Hatuitambui hii serikali, nani kawachagua mbwa hawa?
 
Aweso huyu maji hayatoki wiki 2 majukwaani anasema maji yapo ya kumwaga

View attachment 3497300View attachment 3497301View attachment 3497302?
 
Ni kujipakaza mavi mwili mzima baada ya kujisaidia kisha unavaa suti ukitegemea inzi hawatakufuata.
 
Hapa bado kwa walitajwa hapa! Binafsi namtazama zaidi Dotto Biteko na bila shaka kuteuliwa kuwa Naibu Waziri Mkuu ilikuwa ni kupata uzoefu zaidi!

Ila tusubiri tuone ila kwa Makonda kazi itakuwepo, Aweso anafanya kazi nzuri ila bado kushika nyadhifa kubwa kama hii
==============
Majina ya vigogo hao watatu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) — Mhe. Paul Makonda, Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima, na Mhe. Jumaa Aweso — yameanza kutajwa kuwa miongoni mwa wanaoweza kuteuliwa kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, endapo mabadiliko ya uongozi yatahitajika baada ya uchaguzi mkuu.

Wananchi na wachambuzi wa siasa wanasubiri kwa hamu kuona iwapo Rais Samia Suluhu Hassan atafanya mabadiliko yoyote katika safu ya juu ya uongozi wa serikali. Majina haya yameibuliwa kutokana na rekodi zao za kiuongozi, weledi na umaarufu ndani ya chama na serikali.

Paul Makonda
Aliwahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na baadaye Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM. Anajulikana kwa kauli thabiti, utendaji wa haraka, na uwezo mkubwa wa kushawishi makundi ya vijana.

Dkt. Dorothy Gwajima
Ni Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum. Amewahi pia kushika Wizara ya Afya. Ana rekodi nzuri ya utumishi wa umma, na ni mtaalamu wa utawala wa afya kwa zaidi ya miaka 20.

Jumaa Aweso

Ni Waziri wa Maji, anayesifika kwa usimamizi wa miradi mikubwa ya maji vijijini na mijini. Amejipatia umaarufu kutokana na ukaribu wake na wananchi na uwezo wa kusimamia utekelezaji wa sera

Je ni yupi anafaa endapo ikitokea kama inavyosemekana* ?

View attachment 3497300View attachment 3497301View attachment 3497302
Pumbavu sana mtoa mada. Nyinyi ndiyo mnafanya nchi yetu idharauriwe kwa umbumbumbu huu
 
Back
Top Bottom