Paraphilias
Hii ni tatizo ambalo mtu anapata hisia za KIMAPENZI kwa kupitia vitu ambavyo sio binadamu,kwakuumizwa au kuumiza na kwa watoto
Aina za paraphilias.
1 fetishistic
Hili ni tatizo la kihisia ambalo mtu anapata hisia za KIMAPENZI pale tu kwakutumia vitu ambavyo sio binadamu mfano...
Upendo ni muunganiko was hisia,akili na tabia
Kuna Aina name za upendo
1 hakuna upendo
Ni Aina ya mahusiano ya KIMAPENZI ambayo hakuna mtyu anapenda mwezake
2 urafiki
Ni Aina ya upendo ambao kunakuwa na ukaribu tu
3 infatuated
Ni Aina ya upendo ambao mahusiano yao yanakuwa kwaajili ya...
Pole Kaka angu naelewa suala Hilo jinsi linavokuumiza usikate tamaa Ni njia tyu ambazo kidogo yawezekana hauna uelewa nazo karibu kwa msaada wa ushauri wakisaikolojia hautajutia kamwe
Pole Kaka angu naelewa suala Hilo jinsi linavokuumiza usikate tamaa Ni njia tyu ambazo kidogo yawezekana hauna uelewa nazo karibu kwa msaada wa ushauri wakisaikolojia hautajutia kamwe Asante
Pole Sana Kaka kwa mkanganyiko huo nataka nkusaidie kwamba mtu hapimwi kwakuja kwako marakwa Mara mke anapimwa kwa tabia nataka nkupe angalia faida na hasara za wote ndipo uchukue maamuzi yakuwa nae mmoja jiulize swli huyo anaekuja kwako Mara kwa Mara he akipata mchepuko mwingine hawezi kuwa...
P
Pole Sana Kaka angu nataka nikufahamishe kwamba mapenzi ya dhati so uchumi,cheo Wala vitu Bali Ni upendo watoto hawatapata Shida ndio lakini watakosa malezi ya upande mmoja ambayo yanaweza kusababishwa kwa kuachana Jambo Hilo litawapatia Shida Sana watoto nakuanza kujilaumu nakukosa misingi...
Naweza kukupa ufahamu juu ya Jambo kinachopenda Ni moyo bila kujali mwanamke Ana kitu gani hivo basi pale inapotokea mwanamke anavigezo vyote na hauna hisia naye jitaidi kuzileta hisia zako karibu kwakuwa na uthubutu wakuwa Naye ukibahatika kuwa nae katika mahusiano utagundua faida zake na...
Pole Sana Kaka angu inaonekana suala hili linakutatiza Sana nakukupa Shida napenda kukushauri kwamba unayosababu yakuomba muda mkiwa wawili watatu na yeye akiwepo kuweza kuongea naye vizur kuhusu hisia zake kwake kwa HESHIMA zaidi bila kuongelea maneno uliyosikia kwa watu wengine Nadhani...
Naomba niaze nakusema pole kwa Jambo Hilo unayosababu yakutambua vitu gani vinavopelekea wewe kutokuwa na hisia naye labda kuwa bize kwa mda mrefu kukosa mda wakuwa Nate nakushirikishana Mambo mbalimbali ili uweze kuona manzuri yake kwako na kwake asante
Asante naomba kulijibu swali Hilo Kama ifuatavo wasichana wengi wanakosa misimamo kutokana na kipato Cha mwanaume MSICHANA anaweza kuwa na mwanaume ambaye Ni mtulivu kabisa na mwelewa pale anapokutana na mwanaume mwenye vishawishi zaidi asipokuwa na msimamo anabadilisha mawazo nakupelekea sehemu...
Ah ninayisababu yakujib suala hili Ni kwamba katika mahusiano tunaweza kudimuliana vitu mbalimbali lakin Shida unakuja pale tunaposimuliana vitu ambavo vinakuja kufanyika Kati yetu na kutuletea madhara hivyo basi tunatakiwa kujua faida na hasara kabla yakudimuliana.Asante by mshauri nasihi
Pole Sana Kaka angu bado unanafasi yakutafakari pande zote mbili kwa mdogo ako na mpenzi wako pia maamuzi yako yasilete Shida katik pande mbili Ivo basi unayonafasi yakukaa nakuongea nao kiundani juu ya sual ili naujue wanasemaje juu ya suala Hilo apo ndio utajua nn chakufanya kwamsaada zaidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.