Nas Jr
JF-Expert Member
- May 15, 2018
- 7,919
- 8,609
Je unawezaje kuishi na mtu ambae huna hisia nae?
Huwezi
Je unawezaje kuishi na mtu ambae huna hisia nae?
Yap!...ukishakuwa 'womanizer' kutulia na mpenzi mmoja itakuwa changamoto kwako.Sio kwamba hana hisia nae. His mind imezoea wanawake wengi. There for he is not husband material.. he is a playboy
KheeHichi unachokipitia niliwah kupitia nilicho gundua sababu ni moja tu Ni uzinzi wa kiwango Cha Hali ya juu .!
Ukiwa mtu wa wanawake wengi aisee kukaa na mwanamke mmoja afu nyumba moja iwe umeoa au sogea tuishi Ni zigo zito Sana kuzid alilotwishwa January Makamba na Tanesco
😂😂😂Una Bahati Sana shukuru Mungu na utoe sadakaHii kitu inanitesa sana, binti wa watu mzuri kabisa, hana makuu, mpole, heshima na ana kila sifa ya kuwa wife material,
Tatizo kubwa niko nalo ni kwamba sina hisia naye, sina wivu naye hata kidogo, kuishi naye ni kama nimelazimishwa ni vile tu sina sababu ya kuachana naye, na kuna mengi nimefanya naye hii kitu inafanya iwe vigumu kuchukua maamuzi yeyote.
Wakuu uzi wa kwenu huu ushauri ndio kitu muhimu sana kwa wakati huu.
Je, unawezaje kuishi na mtu ambaye huna hisia naye?
Cc Zero IQ.
Umemkamata na chai zake😂😂😀Achana kwanza na lile limama tuzungumzie hili swala kwanza
Situation unayopitia ni the same to me! Nimewahi pitia yan Binti alikuwa mchapakazi hatari heshima kwenye jamii ndo usiseme.Hii kitu inanitesa sana, binti wa watu mzuri kabisa, hana makuu, mpole, heshima na ana kila sifa ya kuwa wife material,
Tatizo kubwa niko nalo ni kwamba sina hisia naye, sina wivu naye hata kidogo, kuishi naye ni kama nimelazimishwa ni vile tu sina sababu ya kuachana naye, na kuna mengi nimefanya naye hii kitu inafanya iwe vigumu kuchukua maamuzi yeyote.
Wakuu uzi wa kwenu huu ushauri ndio kitu muhimu sana kwa wakati huu.
Je, unawezaje kuishi na mtu ambaye huna hisia naye?
Cc Zero IQ.
Hichi unachokipitia niliwah kupitia nilicho gundua sababu ni moja tu Ni uzinzi wa kiwango Cha Hali ya juu .!
Ukiwa mtu wa wanawake wengi aisee kukaa na mwanamke mmoja afu nyumba moja iwe umeoa au sogea tuishi Ni zigo zito Sana kuzid alilotwishwa January Makamba na Tanesco
Naomba niaze nakusema pole kwa Jambo Hilo unayosababu yakutambua vitu gani vinavopelekea wewe kutokuwa na hisia naye labda kuwa bize kwa mda mrefu kukosa mda wakuwa Nate nakushirikishana Mambo mbalimbali ili uweze kuona manzuri yake kwako na kwake asanteHii kitu inanitesa sana, binti wa watu mzuri kabisa, hana makuu, mpole, heshima na ana kila sifa ya kuwa wife material,
Tatizo kubwa niko nalo ni kwamba sina hisia naye, sina wivu naye hata kidogo, kuishi naye ni kama nimelazimishwa ni vile tu sina sababu ya kuachana naye, na kuna mengi nimefanya naye hii kitu inafanya iwe vigumu kuchukua maamuzi yeyote.
Wakuu uzi wa kwenu huu ushauri ndio kitu muhimu sana kwa wakati huu.
Je, unawezaje kuishi na mtu ambaye huna hisia naye?
Cc Zero IQ.
Si mkae mzungumze jinsi ya kuweka chachandu kwenye penzi. Unapenda nini na vipi, nae piaHii kitu inanitesa sana, binti wa watu mzuri kabisa, hana makuu, mpole, heshima na ana kila sifa ya kuwa wife material,
Tatizo kubwa niko nalo ni kwamba sina hisia naye, sina wivu naye hata kidogo, kuishi naye ni kama nimelazimishwa ni vile tu sina sababu ya kuachana naye, na kuna mengi nimefanya naye hii kitu inafanya iwe vigumu kuchukua maamuzi yeyote.
Wakuu uzi wa kwenu huu ushauri ndio kitu muhimu sana kwa wakati huu.
Je, unawezaje kuishi na mtu ambaye huna hisia naye?
Cc Zero IQ.
Pole sana mkuu.Nitumie Namba zake ili wakulungwa tukusaidie kusolve tatizo hilo.Hii kitu inanitesa sana, binti wa watu mzuri kabisa, hana makuu, mpole, heshima na ana kila sifa ya kuwa wife material,