Recent content by ushanka

  1. U

    JamiiForums Tanzania Huyu mgombea anadai ni mzima kweli!?

    haswaaa hakuna alopewa guarantee ya kuish jaman tusiwe hivyo
  2. U

    JamiiForums Tanzania Anasambaza UKIMWI kazini kwa makusudi, naweza kumsaidia vipi huyu dada?

    Kweli kabisa amekosea kutoa siri ya ofisi,mbali na hivyo kama anata kusaidia jaamii yake amwambie muhusika kama kweli ana uhakika na jambo hilo.kama hataacha basi atapunguza spid
  3. U

    JamiiForums Tanzania Dah kweli mwanamke ana nguvu ya kugeuza matakwa yako bila kujijua.

    aiseeeee ni shida
  4. U

    JamiiForums Tanzania huyu mtu anafanana na katuni gani?

    comrade kipepe
  5. U

    JamiiForums Tanzania MwanaJF mwenzetu kavamiwa na wezi na kukatwa katwa Mapanga

    aiseee mungu unayemwamini akuponye brother
  6. U

    JamiiForums Tanzania Jiji la Mbeya, Usafi bila kinga

    ni haki kama wavotupa maganda ya ndiz barabaran bila aibu.na Leo waokote bila
  7. U

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali

    nashukuru kwa ushauri wako ndugu.asante
  8. U

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali

    Naomben msaada ndugu zangu baba yangu anasumbuliwa na eusophagael tumour kwa anayejua tiba na WAP inapatikana nipo muhimbili baada ya rufaaa za hospital mbalimbali lakini mambo bado hayaeleweki na hali inazidi kuwa mbaya. Nisaidien jamani.
  9. U

    JamiiForums Tanzania msaada tafadhali

    naomben msaada ndugu yangu anasumbuliwa na eusophagael tumour kwa anayejua tiba na WAP inapatikana nipo muhimbili baada ya rufaaa za hospital mbalimbali lakini mambo bado hayaeleweki na hali inazidi kuwa mbaya.nisaidien jamaan
  10. U

    JamiiForums Tanzania msaada tafadhali

    kwa anayejua eusophagael tumour ni nn na wapi ninaweza kupata matibabu anisaidie jaman.baba yangu kaambiwa kuwa ana tatizo hilo na daktar nimezunguka Naye hospitali nyingi bila mafanikio naishia kupewa rufaa tu nipo muhimbili hapa lkn bado hapaelewek na hali ya mgonjwa inazidi kuwa mbaya...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Nyama za mguu kuuma na kuvimba, msaada tafadhali

    asante sana kwa ushaur wako
  12. U

    JamiiForums Tanzania Nyama za mguu kuuma na kuvimba, msaada tafadhali

    hapana zaid sana nakula mboga majan kwa wingi
  13. U

    JamiiForums Tanzania Nyama za mguu kuuma na kuvimba, msaada tafadhali

    Naomba msaada wenu tafadhali,nyama za mguu zinaniuma had nashindwa kutembea.ni upande wa nyuma kutoka kwenye goti had kwenye unyayo.tafaaaaaadhali nisaidien tatizo ni nin?
Back
Top Bottom