Recent content by Ushamba

  1. Ushamba

    JamiiForums Tanzania CO anatumia mamilioni ya pesa kusoma halafu anakuja kulipwa laki 2 huu ni unyanyasaji

    Ndugu yangu kupata Nazi balaa.Maliza chuo utaitamani hiyo 200 kwa mwezi utaisikia redioni.Anza kuopenda hiyo kwanza
  2. Ushamba

    JamiiForums Tanzania Tuache siasa, ajira zipo za kutosha Tanzania kwa wanaojua Kiingereza kwa ufasaha

    Ilikuwa zamani.nimehudhuria interview na wakenya,Uganda mpaka Malawi. Round ya kwanA tu.Alibaki mburundi na wabongo.Siku hizi wabongo wapo viuzuri mno Ilikuwa zamani wabongo sio haba kwa sasa wapo vizuri sana
  3. Ushamba

    JamiiForums Tanzania Mnaoifahamu Mbeya, nijuzeni ya mji ule ktk nyanja tofauti

    Nimekaa napajua mazima
  4. Ushamba

    JamiiForums Tanzania Mnaoifahamu Mbeya, nijuzeni ya mji ule ktk nyanja tofauti

    Kupata 10,000 mbeya mjini in shughuli pevu kweli kweli bora uje Njombe utatoboa
  5. Ushamba

    JamiiForums Tanzania Nimefuta Biblia kwenye simu yangu

    E Yesu ntamtaka kwa mamlaka yako na nguvu zako shusha juu ya MTU huyu Leo.Atambue uwepo wako na umponye
  6. Ushamba

    JamiiForums Tanzania Nimefuta Biblia kwenye simu yangu

    Anza kumuamini Mungu vifungo vyote vitafunguka
  7. Ushamba

    JamiiForums Tanzania Nimefuta Biblia kwenye simu yangu

    Umefeli ndugu.jifunze kusoma bibilia
  8. Ushamba

    JamiiForums Tanzania Nimefuta Biblia kwenye simu yangu

    Yesu hawezi kuwa pepo
  9. Ushamba

    JamiiForums Tanzania Nimefuta Biblia kwenye simu yangu

  10. Ushamba

    JamiiForums Tanzania Nimefuta Biblia kwenye simu yangu

    Mungu yupo tafadhali hafananishi.Pia ni mwenye wivu kamwe hafananishwi.Kamwe usiseme lugha chafu kwake.Tubu sasa
  11. Ushamba

    JamiiForums Tanzania Nimefuta Biblia kwenye simu yangu

  12. Ushamba

    JamiiForums Tanzania Nimefuta Biblia kwenye simu yangu

    Nguvu itamshukia kubwa mno
  13. Ushamba

    JamiiForums Tanzania Nimefuta Biblia kwenye simu yangu

    Kwa mamlaka ya Yesu natamka nguvu ikushikie.Na utakuwa MTU wa kwanza Ulipo kuona Ukuu wa Mungu.Tubu Leo mambo yako yote yatakuwa sawa futa kauli chafu
  14. Ushamba

    JamiiForums Tanzania Wapendeni sana wazazi wenu jamani siku wakifa mtajuta

    Nilizubaa sana baada ya kuoa.nimeamua toka kutuma kwa wazazi kwa siri.Yaani ukituma unasikia anavyofurahi Jamani
  15. Ushamba

    JamiiForums Tanzania Ukiwa na umri wa zadi ya 35 na umepanga na familia, presha ya maisha inakuwa kubwa sana

    Jamani msiseme vibaya.vijana graduate tuna shida sana.unakuta umemaliza chuo ramani azisomi.Mvumilie akaaye kwako kama wa mikoani akifuma chaka ametoka kimaisha
Back
Top Bottom