Mnaoifahamu Mbeya, nijuzeni ya mji ule ktk nyanja tofauti

Hello Wakuu,

Ningependa kuijua Mbeya katika nyanja za: Uchumu wake,
Mzunguko wa pesa,
Kasi ya ukuaji,
Utamaduni wake,
Fursa,
Maendeleo yake,
Mengine mengi zaidi.

Karibuni.
mbeya ni jiji ambalo lipo vizur sana kwenye kila kitu ulicho ainisha hapo

sema utamaduni wake tu ndio siujui

kama una ndoto ya kuhamia mbeya karibu sana mkuu

mbeya na mwanza ni mikoa flani yenye fursa sana za kiuchumi & maisha ni rahisi mnoooooo!
 
Ahsante sanaa.
 
Sijui ni kwanini hii nchi nikipaskia mwanza huwa napata utulivu,mkuu huko kuna fursa gani kwa anaetaka biashara ndogondogo
 
Ukitaka kushiba chakula unenepe kama wanyakyusa hamia Mbeya ila kama unataka pesa sahau. Mikoa yenye chakula kingi haina pesa, robo tatu wanalima na kula mazao waliolma unategemea mzumguko wa hela ?
Nilishangaa kuona Mbeya bado wanaenda kusaga mahindi mashineni wakati mkoa kama shinyanga tu wanasindika unga na wakazi wanategemea unga uliosindikwa. Mbeya saa moja usiku shughuli zinaenda kulala kama kuku na wanachelewa kufungua maduka hawana shida kwa sababu wanategemea dona la shambani biashara ni ziada.
Labda uende tunduma kwa wajanja, mbeya mjini kumejaa walala hoi .
Mbeya hata asie na hela anajenga nyumba sio kama Arusha Dar, Mwanza, kiwanja unapata hata kwa milioni 1. Mbeya kama unataka kulima poa, na ukijiongeza ukawa unasafirisha mikoani utatoboa.
 
Back
Top Bottom