Recent content by usertz

  1. U

    JamiiForums Tanzania Lipi chaguo sahihi kati ya hizi blender: Kenwood au Mach one

    je ikiwa option 1 na 2 unashauri vipi?
  2. U

    JamiiForums Tanzania Lipi chaguo sahihi kati ya hizi blender: Kenwood au Mach one

    Kuna namna yoyote ya kujua ipi feki na ipi original?
  3. U

    JamiiForums Tanzania Lipi chaguo sahihi kati ya hizi blender: Kenwood au Mach one

    Kama hii huwa ni bei gani
  4. U

    JamiiForums Tanzania Lipi chaguo sahihi kati ya hizi blender: Kenwood au Mach one

    Hii changamoto yake nini
  5. U

    JamiiForums Tanzania Lipi chaguo sahihi kati ya hizi blender: Kenwood au Mach one

    Kama kichwa cha habari kinavojieleza,ni ipi blender nzuri kati ya kenwood au mach one
  6. U

    JamiiForums Tanzania IPI NI BLENDER BORA KATI YA KENWOOD AU PMC

    Habari zenu wadau wa jf, naomba kujua kwa mwenye uzoefu wa matumizi ya blender ni ipi nzuri kati ya kenwood na pmc
  7. U

    JamiiForums Tanzania Midea au roch ipi ni friji bora?

    Je, kuna namna ya kujua kama ni og au feki
  8. U

    JamiiForums Tanzania Midea au roch ipi ni friji bora?

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, naomba ushauri ni friji ipi nzuri ya kununua kati ya hizo nilizotaja hapo juu
  9. U

    JamiiForums Tanzania Mwenye uzoefu na friji za Tmall naomba anambie kuhusu ubora wake au ni friji ipi nzuri kwa bajeti isiyozidi laki tano

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba msaada kwenye hilo Mwenye uzoefu na friji za Tmall naomba anambie kuhusu ubora wake au ni friji ipi nzuri kwa bajeti isiyozidi laki tano
  10. U

    JamiiForums Tanzania Site ipi ni nzuri kwa kuangalia mechi za ulaya live

    Kama kichwa cha habari kinavoonesha hapo juu, ni site ipi nzuri kwa kuangalia mechi za ulaya live
  11. U

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu ubora wa tv za goodvision upoje

    sawa,shukran
  12. U

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu ubora wa tv za goodvision upoje

    Habari, kama kichwa cha habari kinavojieleza nilikua naomba kujua kuhusu ubora wa hizi tv za goodvison, kwa mwenye uzoefu nazo.
Back
Top Bottom