Tumia akili basi ...ivi utalimaje shamba bila jembe au source yoyote unayoweza kulimia...utanunuaje kitu bila hela??.. Uwe unafikiria mbali sio pap kwa pap...
Umeona lakini nia ya hiyo issue ya bashite au??? Wanataka kuhakikisha uongozi unaheshimiwa na sheria zinafuatwa ..bashite kuwepo bado madarakani na makosa yote aliyonayo ni kutukana umma kwakweli,..naomba uwe unafikiria kabla hujaandika chochote
Ni swala ambalo linanitatiza sana,nlichofundishwa shuleni na ninachojua ni kwamba these stars are supposed to be an example to the society..lakini wamekua wakionyesha vitu tofauti sana,wao ndo wamekua mstari wa mbele kuchochea fitna,vijembe na chuki hasahasa kwenye mitandao ya kijamii..alafu...
Ni pale ambako unakua unapanic na kufanya rough decisions.. JB hajatumia busara kabisa,kwanza yeye ni kioo cha jamii alafu bado anakua mchochezi wa mambo ya kibashite..ivi kweli kabisa anadiriki kusema hamjui nay wala hackilizi bongo movies..alafu bizeeeee eti nackiliza country music..ivi alikua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.