Mkuu bora wewe mimi nimekesha kituoni toka juzi mpaka Sasa bado wanaandikishwa eti wenye namba hii nchi hii hawa CCM wanampango mchafu nimeshudia mpaka ngumi leo hapa kituoni
huyu mleta mada ametumia fasihi kufikisha ujumbe na amevaa uhalisia wa yeye ili ujumbe ifike huku
akiwakilisha makundi mbalimbali ambayo hayajapata nafasi mkuu
kaka umenena hoja ni kupanda bei kwa hizo nishati na wala sii akina Mbowe mimi hata likitokea jiwe linalopinga bei hii mpya ya nishati naliunga mkono hongera mnyika achana na hawa wala rushwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.