Recent content by Urambo kwetu

  1. U

    JamiiForums Tanzania Sitta: Nikikatwa uspika nitakimbilia mahakamani kufungua kesi

    Hili nalo neno!
  2. U

    JamiiForums Tanzania Matokeo rasmi ya Urais kwa mujibu wa NEC (Official Results) - Uchaguzi Mkuu 2015

    hii ngoma mkuu imekwisha maana ukiangalia hata kwenye matokeo ya wabunge kwenye ngome kuu ya lowasa kaskazini kuna majimbo kadhaa yameenda ccm lakini kwenye ngome kuu ya magufuli ambayo ni sukuma land kuna jimbo moja tu ambalo limeenda ukawa
  3. U

    JamiiForums Tanzania Matokeo rasmi ya Urais kwa mujibu wa NEC (Official Results) - Uchaguzi Mkuu 2015

    hawa jamaa vp? wameishiwa swaga nini
  4. U

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye adui namba moja wa ustawi wa siasa za Iringa na viunga vyake

    bila kusahau watu wa arusha na kilimanjaro
  5. U

    JamiiForums Tanzania Kwa namna hii Mabadiliko Tanzania ni ndoto

    umenena vyema mkuu
  6. U

    JamiiForums Tanzania Nimegundua hili kuhusu bao la mkono linaloendelea

    kinachoendelea ndio uhalisia hakuna anaeibiwa
Back
Top Bottom