Huyu ndiye adui namba moja wa ustawi wa siasa za Iringa na viunga vyake

Labrujita

JF-Expert Member
Jun 12, 2015
399
126
Ni vizuri ukatambua kwamba Iringa siyo koloni, sio shamba la mtu binafsi wala sio hekalu la walioshiba kufanyia mambo yao bali Iringa ina wenyewe ambao kimsingi wenyewe hawa ni wavumilivu, wastahimili na marafiki wa kweli kwa wanaoheshimu mkoa wao na watu wake.

Nakushauri ni bora ukajikita kuendeleza biashara zako za malori ya mafuta, viwanda vya mikate, maziwa na ufugaji ng'ombe ambao wazazi wenu waliwaachia na kuacha figisufigisu za kuingilia siasa za Iringa na kutaka kuiharibu Iringa yetu ambayo wazee wetu wakiongozwa na Mkwawa waliipigania dhidi ya maharamia wa kijerumani, wangoni na jamii nyingine tena kukiwa na kumbukumbu ya kumwaga damu (armed struggle) historia ambayo sidhani kama unaifahamu au inamanufaa kwako. TUACHIE IRINGA YETU tafadhali kwani naogopa siku wanaIringa wakiamua hakika amini maneno yangu HAPATATOSHA........

Nawasilisha, mwenye kung'amua na ang'amue.........
 
Bila shaka ni yule mwarabu asas na mwenzake mwakalebela huyo......IRINGA TUNASEMA MSIGWA ANATOSHA.....ASAS aendelee na biashara zake na mwakalebela aendelee na biashara ya kusimamia Bar yake
 
Huyu ni SALIM ASAS,....
 
Attachments

  • Salim.JPG
    Salim.JPG
    33.1 KB · Views: 114
  • Lukuvi.jpg
    Lukuvi.jpg
    8.1 KB · Views: 112
Atakuwa ni huyo Salim Asas ni mtu jeuri sana. Tuachie boma yetu salama ukichoka kukaa Iringa hama bwana sio kuharibu amani yetu
 
Ni vizuri ukatambua kwamba Iringa siyo koloni, sio shamba la mtu binafsi wala sio hekalu la walioshiba kufanyia mambo yao bali Iringa ina wenyewe ambao kimsingi wenyewe hawa ni wavumilivu, wastahimili na marafiki wa kweli kwa wanaoheshimu mkoa wao na watu wake.

Nakushauri ni bora ukajikita kuendeleza biashara zako za malori ya mafuta, viwanda vya mikate, maziwa na ufugaji ng'ombe ambao wazazi wenu waliwaachia na kuacha figisufigisu za kuingilia siasa za Iringa na kutaka kuiharibu Iringa yetu ambayo wazee wetu wakiongozwa na Mkwawa waliipigania dhidi ya maharamia wa kijerumani, wangoni na jamii nyingine tena kukiwa na kumbukumbu ya kumwaga damu (armed struggle) historia ambayo sidhani kama unaifahamu au inamanufaa kwako. TUACHIE IRINGA YETU tafadhali kwani naogopa siku wanaIringa wakiamua hakika amini maneno yangu HAPATATOSHA........

Nawasilisha, mwenye kung'amua na ang'amue.........

Usilete ukabila wako hapa kama watu wa mwanza na musoma walivyofanya!!
 
Matokeo ya urais kwa mujibu wa insiders yanaendelea vizuri, updates zimeathiriwa na kukamatwa kwa makamanda zaidi ya 150.
Lakini hata ikitokea bahati mbaya, naamini watu kamwa hawa neema yao inayopaliliwa na fisiemu itapungua kwa kiwango kikubwa sana!
 
ASAS...kamateni mali zake.. yuko na familia kuu... kamata, mkoloni huyo..!!😨😨😨
 
Back
Top Bottom