Recent content by Uphill

  1. U

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Dube amesaini Yanga tayari

    Unamaana gani?
  2. U

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio zilikuwa enzi

    Dah! Hatari sana, Nyakato moja hii.
  3. U

    JamiiForums Tanzania Diwani Athumani Msuya atenguliwa Ikulu

    L
  4. U

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza jasusi mbombezi Kagame anakwenda kuzidiwa kete DRC

    Russia anajiimalisha sana Africa. Pale Mali, Jamhuri ya Congo, Libya, Misri na Sudan anawasumbua sana Mabeberu wa Ulaya Magharibi. Sasa kama ushawishi wake umeimalika Afrika ya Kati na Jamhuri ya Kongo, maana yake mabeberu wa Magharibi wanaona ni rahisi sana Russia kuingia DRC.Kwa hiyo wanaona...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza jasusi mbombezi Kagame anakwenda kuzidiwa kete DRC

    Hofu yao ni Russia kuingia DRC.Maana Russia mpaka sasa yupo Afrika ya Kati na Niger.
  6. U

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Mwenye map inayoonyesha majimbo/maeneo ya Ukraine yanayodhibitiwa na Russia kwasasa naomba atupie hapa.
  7. U

    JamiiForums Tanzania FAKE: Rwanda yawatimua mabalozi wa USA, Belgian,UK & France

    Hii itakuwa fake.
  8. U

    JamiiForums Tanzania Huyu hapa mpinzani wa Simba Queens nusu fainali

    Nawe umeona kama mimi. Simba wakijipanga vizuri watawatoa Mamelodi vizuri tu, timu tishio ni Bayelisa kutoka Nigeria.
  9. U

    JamiiForums Tanzania Sidhani kama ni maamuzi sahii kuingia vitani na M23 kwa sasa

    Hoja yako inafikirisha.
  10. U

    JamiiForums Tanzania FT: Yanga 1-1 Al Hilal Club (CAF Champion League) | Mkapa Stadium | 8-10-2022

    Bila picha hautaeleweka.
  11. U

    JamiiForums Tanzania Rasmi: Simba SC yamtambulisha Mshambuliaji hatari raia wa Serbia

    Naona hata Fraga alikuwa mtoto wa Austems/Uchebe.
  12. U

    JamiiForums Tanzania Hapa kwa mzungu tumepigwa.

    Uko sahihi sana.Mfano Petro Atletico du Luanda wamefika nusu fainali ya CAFCL msimu huu wakiwa na wazungu/Wabrazil na Wareno.Jamaa walikuwa wanakichafua kweli kweli.Suala msingi tuombee asiwe majeruhi wa mara kwa mara.
  13. U

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kuweka tetesi na Taarifa za usajili Ligi Kuu ya NBC kwa msimu ujao 2022/2023

    Hata wewe unaweza kuufanya ukawa na jipya.
  14. U

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kuweka tetesi na Taarifa za usajili Ligi Kuu ya NBC kwa msimu ujao 2022/2023

    Hata wewe unaweza kuufanya ukawa na jipya.
Back
Top Bottom