Why is Botswana richer than other African countries?
Botswana is richer than most other African countries because of 3 basic factors:
DIAMONDS
At independence, the country had no more than 12km of tarred roads in 1965. It also had less than 10 graduates. The discovery of diamonds changed all...
Ikumbukwe kuwa wakati hayati JPM alipokuwa anazindua daraja la Kijazi Ubungo aliahidi kuanza na ujenzi wa barabara za Kimara lakini mpaka sasa hakuna barabara moja iliyotengenezwa. Ukienda Temeke lami au zege mpaka vichochoroni. Kwa kimara kuna barabara nyingi mbovu sana tena sana ila baadhi ni...
Je, Waziri wa fedha anahangaika kutafuta kodi wakati eneo hilo la pembezoni mwa barabara ya Morogoro lililo wazi linaweza kufanyiwa biashara na likazalisha pesa nyingi sana kwa serikali?
Kwani huyu Daktari wa uchumi hawezi kushauriana na Waziri wa Ujenzi wakawatumia wataalamu wa Mipango miji na...
Hii kwa asilimia mia moja imeanzia kazini kwa sababu inasemekana alikuwa mhasibu na alifukuzwa kazi. Sasa swali ni kwa nini alifukuzwa kazi? Je, kosa la kumfukuzisha kazi liliwahusu wengine? Je kuna uwezekano hao wengine waliohusika wakatumia mbinu za kumuondoa kuficha ushahidi? Hapa kazi ianzie...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.