Mbona watu wa Yanga ndiyo wanatumia nguvu kubwa kutuaminisha kuwa Saido ni Mzee na anaighalimu timu? Hayo mnayoyaona ninyi Ina maana Kocha Mkubwa kama Benchika hayaoni?
Any way, tufanye Benchika haoni kama mnavyoona nyie, si ndiyo kwenu mngefurahia? Maana anguko la Simba ni furaha kwa Yanga, kwa...