Recent content by Upendo7

  1. Upendo7

    JamiiForums Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Daa! Niombee nipate intake nyingine ila sio Hiki nimepigwa chini mpaka ni kasema zikija nafasi zingine naziba macho Na maskio nisi appy kabisa😂😂😂😂😂 ila bora nicheke nifurahishe moyo
  2. Upendo7

    JamiiForums Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Mpo kimya jamani chatini wengine tusome comments zenu😂😂😂🙏
  3. Upendo7

    JamiiForums Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Umeonaa eeh! Yani acha tuu life is unfair
  4. Upendo7

    JamiiForums Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Ila ki ukweli jamani twende mbele turudi nyuma kupigwa chini ina uma mazeee😂😂😂 tuendelee kujifukiza
  5. Upendo7

    JamiiForums Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Ninge pata nisingekua hapa Saa ivi ningekuwa Na andaa mizigo
  6. Upendo7

    JamiiForums Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Haya kunywen maji mengi mmbaki mtaani subirini intake nyingine all the best wana😊😂😂😂😂😂😂😂
  7. Upendo7

    JamiiForums Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Kwa wanaoenda CCP all the best to you all🤗 tunaobaki be blessed also😊
  8. Upendo7

    JamiiForums Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Nilipata notification ndo mana nipo na
  9. Upendo7

    JamiiForums Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Mimi nasomaga hoja tuu nikisubiri matokeo
  10. Upendo7

    JamiiForums Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Haswaaa
  11. Upendo7

    JamiiForums Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Washazoea kukesha
  12. Upendo7

    JamiiForums Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Itoke tuu mana ake .
  13. Upendo7

    JamiiForums Vijana waliopita JKT kwa mujibu wa sheria wote kupigwa chini?

    Naomba siku nyingine waandike kabisa kwenye matangazo yao. Kuwa JKT wakujitolea
  14. Upendo7

    JamiiForums Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Jaribu uone unaweza ukateuliwa ka MAJALIWA
  15. Upendo7

    JamiiForums Jeshi la Polisi kwa nini Mmedanganya?

    Mwenyewe nataka kujua kwa Nini?
Back
Top Bottom