Recent content by Upendo mdee

  1. U

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio Wafadhili wakuu wa CHADEMA ambao Mbowe hataki kuwataja hadharani

    Mtaka yote kwa pupa hukosa yote Unajua hii siasa baana unakazania kwenda ikulu kwa mgongo wa mwenzio utabaki umbuka bure.. Haya sasa lowassa na mbowe wameishiwa pesa wamebaki kuomba omba hata mia wanaitaka iwasaidie!!! Hahahah rudimi nyumbani ccm Mlango upo wazi Ccm oyee Magufulii hapa kazi tu
  2. U

    JamiiForums Tanzania Kinachomponza Lowassa

    Sijaona cha kushangaa hapo Kushindwa kwa wengine sio sababu ya magufuli kushindwa Na hakika anavyovisema atavifanya ni mtu wa kazi Whether ukubali au ukataye Hapa kazi tu Magufuli ndio rais na sera zake atatimiza
  3. U

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya Twaweza ya #SautiZaWananchi: Magufuli na CCM wang'ara dhidi ya wapinzani - Sept 22, 2015

    Hakika ccm inaendeleza ushindi wake Haijaliahi vita inaonekana kali ila ushindi tunao
Back
Top Bottom