Wataisoma namba tanzania ni magufuli tu na vipaumbele vyake tumevielewa # hapa kazi tu
WAFADHILI WAKUU WA LOWASA KUJITOA.----------------
Mtakumbuka hivi kari buni, Mwenyekiti wa CHADEMA, FREEMAN MBOWE amenukuliwa akisema kuwa chama hicho kina wafadhili watano ambao hatawataja hadharani kwa kuhofia vyombo vya dola kuwafuatilia. Hata hivo baada ya tafiti kuonyesha chama hicho kuwa na ushawishi mdogo kwa- wanainchi,wafadhili wafuatao wameonyesha dalili ya kukataa tamaa kumsaidia Lowasa.
ROSTAM
Huyu ndiye mfadhili namba moja wa CHADEMA kwa sasa. Ufadhili wa Rostam kwa CHADEMA unatokana na uswahiba wake kwa mgombea Urais wa chama hicho, Edward Lowasa. Wawili hawa ni wahanga wa siasa ndani ya CCM na kutokana na jeuri ya pesa waliyokuwanayo ndani ya chama hicho, walidhani kuwa wao ndo kila kitu. Hata walipoambiwa wajivue gamba, Rostam alitii amri ila Lowasa aliendelea kuwa mkaidi kwa kuamini kuwa pengine chama kingelegeza msimamo juu yake. Hata hivo Rostam kaonyesha kukataa tamaa kumsaidia MZEE kwa sasa japo ameshatumia kiasi cha bilioni 100 hadi sasa.
MANJI
Huyu ni mfadhili namba mbili wa CHADEMA ijapokuwa ni mgombea Udiwani kwa tiketi ya CCM kata ya Mbagala Kuu.. Manji mwanzoni alitoa shilingi bilioni 12 kusaidia harakati za Lowasa na wanaojua fedha hizo ni Mbowe na Lowasa tu.
REGINALD
Mengi ametokea kuwa na mahaba na CHADEMA kutokana na sababu za kihistoria na kijiografia. Jukumu alilokabidhiwa Mengi ni kuhakikisha kuwa Media zote hasa zile za marafiki zao zinakuwa na msimamo wa aina moja huku Lowasa akipewa kavareji ya kutosha kuliko wagombea wengine.
KARAMAGI
Naye yupo kwenye hiyo orodha ya Mbowe. Karamagi ndiye aliyetoa milioni 53 kule Geita wakati wa ziara ya Lowasa mkoani humo ili zitumike kuhamasiaha watu waende kwa wingi kumpokea Lowasa. Kilichotokea ni kwamba watu walikula fedha na hawakufanya kama walivyokubaliana. Pia Karamagi mwanzoni alitoa shilingi kama hizo kwenye mikoa ya Shinyanya, Mwanza, Kagera na Simiyu.
Aidha wafadhili kutoka Ujerumani, Uholanzi na Marekani nao kwa sasa wameonyesha nia ya kutaka kusitisha ufadhili wao muda wowote kuanzia sasa, kutokana na hali kuwa ngumu, hata wale wabunge waliotegemea watashinda kwa sasa hali imekuwa tofauti na matarajio yao.
-
Kwani Lowassa na Kubenea, Mengi na Rostam waliwahi kuwa marafiki? Leo? Hoja yako mfu, kwenye siasa hakuna rafiki au adui wa kudumu. Alichokielea reuters ni sahihi kabisa.Wewe ni mwongo wala usitake kutudanganya, Yusuf Manji na Lowassa hawapikiki chungu kimoja
Mwaka huu atakunya sana, na bado.Kazi ishaisha wakuu
mzee anafanya kama ya stand ya chato
Kwanza nani amchangie fisadi
Ningekuwa mm mtoto wa magufuli ningeanza kutanguliza mizigo
Kuwahi kile chumba kinachoface baharini
Namba 2. Umeandika wanaojua kuhusu fedha hizo ni Mboye na Lowassa tu. Sasa iweje wewe ujue kuna fedha katoa Manji.