Recent content by Upendo Furaha Peneza

  1. U

    Mungu amenipa nafasi nyingine ya kumtumikia na kutumikia watu wake. Praise be to God!

    Wengi mtakuwa mlisikia juu ya ajali mbaya niliyopata mimi na makamanda wengine watatu tukielekea kwenye mkutano wa hadhara, Geita. Ni moja ya ajali mbaya kiasi kwamba kila mtu akiona gari lilivyoharibika hakuna anayeamini kuna aliyebaki salama. Namshukuru Mungu sana aliyesikia maombi yetu...
  2. U

    Mmenifanya kuwa mtu wa tofauti sana kwenye taifa hili,asanteni sana

    Baada ya siku ya uchaguzi wa BAVICHA TAIFA tarehe 11/09/2014 nilipata simu na message nyingi kutoka kwenu ndugu zangu za kunipongeza. Salam hizi zilikuwa za wanachadema,wanachama wa vyama mbalimbali vya siasa na wapenda mageuzi nchini. Awali sikuona mlichokiona,nilijua ni kawaida yetu watanzania...
  3. U

    Nakanusha kusifia na kuunga mkono Katiba inayo pendekezwa

    Nimepigiwa simu nyingi juu ya bandiko la mtu anayejiita shetani mweusi akijinasibisha kuwa mimi na kwamba napongeza rasimu iliyosomwa na fisadi Andrew Chenge hapo jana.Nianze kwa kusema sio kweli,sio mimi mwenye jina hilo la kishetani,na zaidi ya yote siungi mkono rasimu iliyonyofolewa minofu...
  4. U

    BAVICHA ninayoiota usiku na mchana

    Kama miujiza ingekuwa jambo la kujiamuria,ningeamuru mara moja mimi Upendo Furaha Peneza niwe mwanachama wa TANU YOUTH LEAGUE. Niwe miongoni mwa kina Nyerere,Sykes,Kawawa nk nishiriki agenda nzito nzito za namna ya kumuondoa kupe,beberu,kabaila,mwizi na mnyonyaji mkoloni. Najua ningepangiwa...
  5. U

    Upendo Peneza: Nahitaji kushinda na nitashinda

    Asante Mutakyamirwa,saa ya ukombozi ni sasa
  6. U

    Upendo Peneza: Nahitaji kushinda na nitashinda

    Thank you for the encouragement
  7. U

    Upendo Peneza: Nahitaji kushinda na nitashinda

    Asante sana THE BOSS ushauri wako unazingatiwa
  8. U

    Upendo Peneza: Nahitaji kushinda na nitashinda

    Mimi UPENDO binti wa PENEZA maisha yangu yamejaa mapambano yasiyoisha duniani. Nimekuwa mtu wa kuthubutu kinyume na mategemeo ya rafiki,wazazi na ndugu zangu kwa ujumla. Nimehatarisha heshima yangu kwa jamii kwa sababu ya ndoto zangu,utu wangu umejaribiwa kufifishwa mara nyingi lakini nilisimama...
Back
Top Bottom