Sikuwa nafikiria ikiwa Kuna siku namimi nitakaa nakuanza kuchart na AI lakini Leo katika utulivu wangu namimi nikaona niijaribu hii teknolojia ya Chatgpt.
Nikiri TU teknolojia inaenda kuwa msaada mkubwa Kwa wale wapendao kujifunza vitu vingi kwa urahisi lakini vile vile Nina wasiwasi akili za...
Wadau nimekuwa muhanga wa tatizo Hilo tangu nikiwa balehe mpaka Leo hii nikiwa na umri wa miaka 27.
Huwa janga hili linajitokeza mara Kwa mara nasikia uchungu sana haswa kwenye korodani Moja tu inaniletea mpaka ugumu wa kutembea kwa amani.
Ni nini chanzo na tiba yake ikoje? Je, kuna madhara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.