Recent content by Up-coming Teacher

  1. U

    JamiiForums Tanzania Bodi ya mikopo elimu ya juu imegoma kutulipia ada

    Bodi ya mkopo ya Elimu ya juu (HESLB) IMEGOMA/IMESHINDWA/IMEKATAA kutulipia ada (Tuition fees) ya mwaka wa masomo wa 2012/2013 . Sakata hili lilianza pindi ambapo mwaka huu wa masomo ulipoanza kwa baadhi ya Wanachuo wa SAUT-MWANZA kwa idadi inayopungua 210 kutokuyaona majina yetu kwenye karatasi...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Ombwe la Uongozi

    Je, unamfahamu Mh. Sijui? hizi ni sifa zake. 1. Hajui kwa nini nchi yake na wananchi wake ni masikini 2. Akiwa kama kiongozi wa juu wa chama chake pia hajui kama chama hicho kina kikosi cha vijana wakakamavu (G GUARD) Ewe mwananchi unaweza kutarajia neema kwa kiongozi kama huyo? Tafakari chukua...
Back
Top Bottom