Mbowe ,nakuita mara tatu,mbowe,mbowe,mbowe,hakika umetuchelewesha Sana Sisi wapinzani ,kumbe ulikuwa mchana chadema usiku CCM,duh hatari,sasa umekuwa CCM mchana usiku chadema ,umekwisha Mzee legacy yoooote kwisha.kujenga legacy NI ngumu Sana,lakini kuibomoa ni rahisi Sana kama kunywa konyagi kiruuu