Recent content by unlocki

  1. U

    JamiiForums Tanzania Mtangazaji Paul James 'PJ' arejea Clouds FM

    Big up Clouds Media Endeleeni kuburudisha+Kuelimisha Wa Tanzania
  2. U

    JamiiForums Tanzania Mtangazaji Paul James 'PJ' arejea Clouds FM

    Hata Timu ya Mpira iliipate Mashabiki Wengi ni lazima wawe na Wachezaji Wazuri wenye vipaji haswaa na ubunifu wa kipekee, Clouds Media kiujumla Wamelipa kipaumbele swala hilo kwa kusajil Watangazaji Mashuhuri Wanaopendwa na Watu kwa utashi wao. Kwa Tanzania redio pendwa ni Clouds FM Leo hii...
  3. U

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke akicheat anaweza badilika?

    Hiyo hali imewahi kunitokea Mimi mbaya Zaidi yule Dada tulikuwa na Mahusiano lakin Tupo Mbali mbali siku nakuja kukutananae aliniambukiza kisonono iliniuma sana, Nikaenda hospital nikatibiwa na yeye nilimwambia akenda kutibiwa sasa hapo ndipo ilibidi anieleze ukweli wote ,akakiri Ni kweli...
  4. U

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kipi bora kuoa msichana aliezaa mtoto 1, au aliewahi kutoa mimba?

    Mimi mbona Kaniambia Mwenyewe Maana Tulikuwa Na mahusiano Mwanzoni baadae tukapotezana nilikuwa Masomoni Chuo,Alichodai yeye iliharibika Mimba na kwa sasa ana shida ya kupata hedhi Mara kuna uchafu wa Mabonge huwa yanamtoka
  5. U

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kipi bora kuoa msichana aliezaa mtoto 1, au aliewahi kutoa mimba?

    Karibuni
Back
Top Bottom