Recent content by Universal Soldier

  1. U

    JamiiForums Tanzania Njama za kuwadhuru Wakuu wa Wilaya watatu zabainika. RC na Kigogo wa Polisi wahusishwa

    Salaam wakuu, Kuna njama haramu zinasukwa na Mkuu mmoja wa Mkoa dhidi ya viongozi wenzake na hivyo kujenga hofu juu ya usalama wa watumishi hawa. Njama hizo za kuwadhuru Wakuu wa Wilaya 3 za Mkoa ‘Mkubwa’ (majina kapuni) zinadaiwa kuendeshwa na Mkuu wa Mkoa huo na kundi lake linaloratibiwa kwa...
  2. U

    JamiiForums Tanzania House4Rent House for rent needed, budget TZS 18,000,000

    Usahihi zaidi: Kwa bajeti hiyo ya $800 (yaani Tsh 1,600,000/-) nilikosa nyumba niliyohitaji hadi nilipojisogeza zaidi hadi kufikisha 2m per month na wanalazimisha utoe mwaka! Hali halisi: Soko la nyumba maeneo haya nimebaini limezungukwa na madalali na wenye nyumba bado wanakomaa kutoza kodi...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Lema: Upande wa Serikali wapinga Rufaa, arudishwa rumande

    Wakuu, Leo Mawakili wa Serikali kwenye kesi ya Lema wamewasilisha Rufaa ya kuipinga Rufaa hiyo hivyo kisheria inabidi wasikilizwe wao kwanza. Kwa maana hiyo, ruling ya rufaa ya Lema itatolewa tarehe 04 Januari 2017. Lema karudishwa rumande.
  4. U

    JamiiForums Tanzania House4Rent House for rent needed, budget TZS 18,000,000

    Nimepata PM toka kwa watu wawili tu. Za nyumba
  5. U

    JamiiForums Tanzania House4Rent House for rent needed, budget TZS 18,000,000

    Mkuu, Ujue nilishapanga room 1, enzi hizo nikilipia 15,000/- kwa mwezi. Maisha yanabadilika, na unaona hata kwa hela hiyo unayodhani ni kubwa bado sipati nyumba sahihi. Manake wananitaka nitoe zaidi ya 2,000,000 kwa mwezi ndo angalau nifikie viwango vyao
  6. U

    JamiiForums Tanzania House4Rent House for rent needed, budget TZS 18,000,000

    Hadi nakosa nyumba. Ujue bado ni kidogo (kwa viwango vya wenye nyumba zao)
  7. U

    JamiiForums Tanzania House4Rent House for rent needed, budget TZS 18,000,000

    Sijapata mkuu wangu. Nazungushwa kwenye nyumba zipo location za ajabu tu. Madalali ninaounganishwa nao wanakupeleka nyumba wanakwambia $2,500 per month, baada ya siku 4 wanakwambia imeshuka ni $1,500 na hata wanakuwa wamemwandaa landlord anasimamia same figure hataki kusikia kitu. Wanakatisha...
  8. U

    JamiiForums Tanzania House4Rent House for rent needed, budget TZS 18,000,000

    Ndio mkuu, vipi kwani?
  9. U

    JamiiForums Tanzania House4Rent House for rent needed, budget TZS 18,000,000

    Naongelea uwezo wangu kwa sasa. The maximum I can afford at the very moment
  10. U

    JamiiForums Tanzania House4Rent House for rent needed, budget TZS 18,000,000

    Room NNE sio nane
  11. U

    JamiiForums Tanzania House4Rent House for rent needed, budget TZS 18,000,000

    Unaweza usiamini, nimezungushwa na madalali wananionyesha nyumba zinazokatisha tamaa. Mbaya zaidi hawataki umjue mwenye nyumba
  12. U

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwana JamiiForums mkongwe, Dena Amsi afariki dunia

    Ni habari za kusikitisha kwa familia ya JamiiForums kwa ujumla wake. Inadaiwa marehemu Dena Amsi amefariki jana baada ya kuugua kwa siku kadhaa. Taarifa za kina juu ya nini kilitokea na msiba upo wapi zitafuatia. Mwenyezi Mungu amsamehe dhambi zake na kumjalia pumziko la milele. R.I.P Dena...
  13. U

    JamiiForums Tanzania House4Rent House for rent needed, budget TZS 18,000,000

    Mwenye nayo tafadhali tuwasiliane hapa JF. Hiyo 1,600,000 ni maximum I can pay kwa mwezi. Asante
  14. U

    JamiiForums Tanzania Natafuta nyumba ya kupanga vyumba vitatu isiyozidi laki 6

    Alishatoka? Mi nahitaji nyumba kwa bajeti ya 1,200,000 hadi 1,600,000 maximum (per month)
  15. U

    JamiiForums Tanzania Natafuta nyumba ya kupanga vyumba vitatu isiyozidi laki 6

    Ungeweka picha ingependeza sana
Back
Top Bottom