Recent content by Ungarobo

  1. U

    Kwanini Kikwete anapenda kuongea na Wazee na sio Vijana au Kina mama?

    Tangu Rais Kikwete ameingia madarakani amekuwa akipenda sana kuongea na wazee wa Dar, Dodoma na Mwanza lakini hajawahi kuwaita vijana na kuzungumza nao. Je, anawapenda wazee kwa kuwa ni watiifu kwa CCM?. Je vijana hawana haki ya kuzungumza na Rais wao au ni uoga wake kwa kuwa vijana wengi...
  2. U

    kijiji cha kaseke CHADEMA juu kwa juu

    Chadema imeigaragaza CCM katika uchaguzi wa serikali ya kijiji cha kaseke mkoa wa kigoma jimbo la kigoma kusini kwa Kafulira uliokuwa na upinzani mkali kiasi cha wanakijiji kukesha wakisubili matokeo yaliyotolewa asubuhi saa tano CHADEMA 1256 CCM 900, viva Chadema, viva UKAWA
  3. U

    Mliochaguliwa UDSM, fuata utaratibu huu

    kwa wale 1st year tuliopangiwa udsm PM namba yako tufahamiane mapema, mimi nimechaguliwa College ya COSS main campus, pia tuwasaidie wenzetu Continuing Students kuwabeba maana nimekuta gharama za kupanga room Maeneo ya karibu na chuo ni kubwa sana ni kati ya 80000-150000 kwa mwezi nilitaka...
  4. U

    Mdahalo wa Mwl.Nyerere foundation kuhusu Katiba Mpya katika ukumbi wa Ubungo Plaza

    akichangia juu ya muundo namaudhui ya rasimu, ametoa ufafanuzi kuwa kuijadili rasimu hii inahitaji elimu na weredi wa hali juu sana kwa wajumbe vinginevyo watakwama na kupotea kabisa...umeeleza vizuri sana juu ya uimara wa muundowa serikali 3 hasa kimfumo na kimuuondo...umemtetea mzee wetu...
  5. U

    Daniel Naftali akiri atachukua fomu yakugombea uwenyekiti BAVICHA TAIFA

    Dani Naftari naemjua mimi mkurugenzi wa fedha wa sasa hapo BAVICHA au mwingine...huyo jamaa namfahamu sana maneno mengi sana utendaji zero...hafai kabisa hapo BAVICHA mkimuweka BAVICHA inakufa
  6. U

    Hongera ITV na IPP-Media mnautendea haki mchakato wa katiba

    Tangu mchakato wa katiba umeanza IPP-Media kupitia vyombo vyake vya ITV, Radio One, Capital Radio na EATV kupitia kipindicha HOTMIX vimekuwa karibu kabisa kutuhabalisha juu ya mchakato huu mzima... Ni vyombo vinavyoonesha midahalo, mahojiano na habari zote za mchakato wa katiba...media nyingine...
  7. U

    Picha:Office ya mkoa ya ACT Kigoma

    watanzania waliojibu swali la kipima joto la ITV lililohoji "Je kususia bunge la katiba ni njia bora ya kutupatia katiba bora?" wamejibu hivi 74% wanesema NDIO 21% wasema HAPANA na 5% wamesema hawajui...my take watanzania inaonekana wanaiunga mkono sana UKAWA
  8. U

    ACT-Kigoma inajipanga kuingiza mamluki uchaguzi wa viongozi CHADEMA hapa Kigoma

    Habari wana jamvi jF Napenda kutoa taarifa kwa uongozi wa chadema taifa kuutazama kwa umakini wa hali ya juu na kwa jicho la tatu uchaguzi wa ndani ya chama hapa Kigoma hasa hapa Kigoma Mjini na jimbo la Kigoma kaskazin. Hii ni kutokana na mkakati kabambe...
  9. U

    Majibu kwa Wassira kwanini Kigoma wengi tunataka serikali tatu

    Kwenye mdahalo wa ITV Wasira amesema muundo uliopendekezwa na tume hauna uhalali kwa kuwa maoni 8,000 kati ya 17,000 waliochangia juu ya muundo wa muungano yalitoka KIGOMA. Wassira atambue kuwa kwanza ameonesha chuki na ubaguzi juu yetu wana wa LEKA DUTIGITE.Kwa mtazamo wake haoni kama...
  10. U

    Barua ya wazi kwa mh. Zitto kabwe

    ndio maana kaamua kuanzisha chama chake chenye nembo ya nyota.Unajua nyota inawakilisha dini gan? alisahau kuweka na mwezi kabisa
  11. U

    Wabunge wa Dar es salaam tuungeni mkono maandamano ya kudai pesa zetu za field

    Nimateso, udhalilishaji, uonevu, kukosa utu, kutokujari wasomi...sisi wanafunzi wa vyuo vikuu tunanyanyasika sana huku mtaani.Tunaishi kwa shida na taabu jaman mtuhurumie...niwiki ya 3 sasa hatujui hatma yetu huku FIELD...jumatano wanafunzi wote tumepanga maandamano ya kudai haki yetu au...
  12. U

    Rais udsm tetea wanafunzi wenzio, acha kuwashitaki wafukuzwe

    udsm people zinapanga mapinduzi hasa waliokosa urais wakiongozwa na GIBSON GEORGE
  13. U

    Kada wa CCM na Mjumbe wa Mkutano mkuu wilaya Ajiunga na CHADEMA Arusha

    Mamluki achunguzwe, msimwamin sana ccm wanambinu nyingi
  14. U

    Pesa za field vyuo vikuu zaota mbawa

    UDSM, DUCE, MUCE, wasainishwa ili wasigome na wameondoka huku wengine wakikwama dar kwa kukosa nauli.Baadhi ya kozi wameanza field leo ila hakuna pesa...poleni sana vijana wetu hii ndio serikali yetu sikivu sijui mtafanyaje field zenu...Mungu awasaidie.
Back
Top Bottom