Recent content by unexpected

  1. U

    JamiiForums Tanzania Nauza modem za 4G (LTE) mitanda yoote

    Nipe bei Mara moja mkuu.
  2. U

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mume

    Put your no, or just PM me please!. I'm so serious, let's talk and see what we gonna do.
  3. U

    JamiiForums Tanzania NASHUKURU SANA

    Ubarikiwe katavi. Nikiweka post ikiwa inafaa ndo ntaikuta kwenye NEW POST ama?
  4. U

    JamiiForums Tanzania HODI HUMU WAHESHIWA

    Naomba kuelekezwa namna ya kutumia jamii forum kwenye PC, napata wakati mgumu kuandika kwa simu. Yeyote alie na ufahamu anielekeze hatua kwa hatua. Ni hayo tu waungwana...
  5. U

    JamiiForums Tanzania NASHUKURU SANA

    Kwema wadau wa jf. Nashukuru kuwa miongoni mwa watu wanaonufaika na uwanja bora kabisa wa fikra pevu za watanzania wenye nia njema na taifa lao na wachache wenye nia mbaya na bila kusahau group la watu wenye kuchalenji mambo mbalimbali. Kwa kweli jf ni sehemu ya maisha yangu na pengine niseme...
Back
Top Bottom