Recent content by Unduleromanio

  1. U

    JamiiForums Tanzania Wanaotajwa kumrithi Chongolo Ukatibu Mkuu CCM

    CCM wana macho sana sana wanajua kuona Nani anafaa kwa wakati gani katika hao wote tajwa naona wananafasi labda watatu tu. 1. Simbachawene sababu Ana utulivu huwa hakurupuki. 2. Namuona Naibu waziri Uchukuzi David Kihenzile Ana uwezo mkubwa ndani ya Mda mfupi Bunge kaendeshe vyema kapewa...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Kwanini gharama za ujenzi wa reli ya SGR Kigoma - Tabora 506km zimeongezeka baada ya Rais Samia kuruhusu tenda ya mfumo wa chanzo kimoja

    Upo sahihi sana Mimi Nilimuelewa sana Mh Naibu waziri sijawahi Muona Naibu waziri smart Kama Uyu kijana
  3. U

    JamiiForums Tanzania Kwanini gharama za ujenzi wa reli ya SGR Kigoma - Tabora 506km zimeongezeka baada ya Rais Samia kuruhusu tenda ya mfumo wa chanzo kimoja

    Moja ya vijana wenyr akili kubwa ambao Taifa leti limepata ni huyu Kihenzile. Binafas tangu ameingia nimeanza hata kuipenda hii wiraza. Anajitahid sana kutueleleza kwa kina kinachoendeleq kwenye sekta yake. Miaka yote nilkuwa napata mashaka na hizi hoja za CAG juu ya tofuatu za bei. Nashukuru...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa hoja ya ujenzi wa reli SGR na hasara ya Tsh Trilion 1.7

    Ufafanuzi mzuri sana na nimemuelewa naibu waziri hakika ni uwelewa wa hali ya juu sana hata watu wenye uwelewa mdogo sana wameelewa yaani ni facts sana
  5. U

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa hoja ya ujenzi wa reli SGR na hasara ya Tsh Trilion 1.7

    Gharama za ujenzi wa hiz reli aliziweka Magufuli alipoingia Mwaka 2016. Akasema lot 3 itajengwa kwa dola milion 4.8 kwa kilometa moja na lot 4 itajengwa kwa dola milion 4.9 kwa km moja. Mama akaingia akaona hapana hii pesa kubwa sana hebu wataalam punguzeni, wakachekecha mpaka ikafika dola...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Huyu Mbunge wa Mufindi Kusini ni hazina ya taifa

    Kanunua mashine na gari za ujenzi au haujui unaishi wapi wew kilaza mwenye upupu kichwani unashindwa fikiri
  7. U

    JamiiForums Tanzania Huyu Mbunge wa Mufindi Kusini ni hazina ya taifa

    Mda wake ushapita na tunamshukuru kwa mda wake tunataka fikra mpya
  8. U

    JamiiForums Tanzania Huyu Mbunge wa Mufindi Kusini ni hazina ya taifa

    Shida hata sera ya vijana haujui mtu wa miaka 30 amemaliza masters na anakula presidential appointment unapinga nini kama sio mpuuzi
  9. U

    JamiiForums Tanzania Huyu Mbunge wa Mufindi Kusini ni hazina ya taifa

    Kama rahisi ungegombea na wewe upite uone joto lake
  10. U

    JamiiForums Tanzania Huyu Mbunge wa Mufindi Kusini ni hazina ya taifa

    Shida unasoma post na haufatilii huyu ni kiongozi anae tufaaa na tuendelee Kumuombea
  11. U

    JamiiForums Tanzania Huyu Mbunge wa Mufindi Kusini ni hazina ya taifa

    Hamna kitu mnapinga vijana wenye maono mnapenda wale wezi wa taifa
  12. U

    JamiiForums Tanzania Huyu Mbunge wa Mufindi Kusini ni hazina ya taifa

    Mwandishi ni mtu mwenye credentials zake sio mzee wa buku tatu humu kusifia ama kuponda. Ukisoma hapo chin amejieleza ni mjeshi, habari maelezo etc. Acha roho mbaya kusema sema watu
  13. U

    JamiiForums Tanzania Huyu Mbunge wa Mufindi Kusini ni hazina ya taifa

    Vijana wa ufipa nyie kila kijana wa CCM ni kumchafua tuu. Hata mfanyaje Kihenzile anajiuza mwenyewe. Peleken mgombea wenu pale jimbon 2025 muone moto. Jamas is so visionary, babarabara zilizokuwa kero sana zimeanza kujengwa ukiacha miradi mikubwa ya maji igowole, Mgololo,Malangali
  14. U

    JamiiForums Tanzania Huyu Mbunge wa Mufindi Kusini ni hazina ya taifa

    Mimi nampongeza sana kwa kuhuisha Redcross kwan saivi kila kona unaisikia. Ila asibweteke kma vijana wenzake ambao wakishaanza sifiwa wanavmbewa. Aendelee kuhituma.
  15. U

    JamiiForums Tanzania Huyu Mbunge wa Mufindi Kusini ni hazina ya taifa

    Huyu Mbunge simfahamu huko nyuma ila nilianza mfuatilia sana alipoanza kujenga hoja kwa ajili ya Watendaji Kata Vijiji na Maafisa Tarafa. Kwa kweli hapo ndio nikaanza kufuatilia na Bunge. Wakati wabunge wenzake wanapigania walipwe mishahara kwa dola yeye anawatazama watumishi wa tabaka la...
Back
Top Bottom