Ni kweli Waziri Mkuu aliridhia miaka kumi lakini customer care wa TRA anasema ni miaka minane hapa sijui hata nifanyeje, Napata mashaka mtekeleza sera kumkaidi mtuga sera
Kuna mawakala wa forodha wengi pale stesheni (Long room) wakilalamikia TRA kutoa password kwa mawakala wachache huku wakijua ya kuwa system mpya itaanza kutumika 1/07/2014 hivyo kuleta usumbufu mkubwa kwa mawakala na kuwapa hasara walioagiza magari na kuwanufaisha wenye yard za kutunzia magari...
Kuna Sintofahamu kubwa kwa maofisa wa TRA juu ya uchakavu wa magari kuwa miaka kumi kama Bunge lilivyoridhia tarehe 28/6/2014 au kuwa miaka nane kama ilivyopendekezwa na waziri wa fedha na kukataliwa.
Naomba kuwasilisha.
Kimsingi wanasiasa ni wanatumia Madaraka vibara (kula rushwa ) na kuishi Kama wake peponi.cha kufanya kwa sasa ni kuimarisha tume ya maadili ya viongozi wa umma ili kuweza kudhibiti wanasiasa na watumishi wengine wa serikali
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.