Recent content by Uncle Moses

  1. U

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa vitabu Tanzania, kuna uhaba mkubwa wa vitabu

    Tunajiungaje humo
  2. U

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa vitabu Tanzania, kuna uhaba mkubwa wa vitabu

    Habarini za asubuhi... Tanzania tuna utajiri wa watu wenye uwezo wa kuandika mada mbalimbali katika vitabu ila hawajafanya hivyo kutokana na sababu mbalimbali ikiwa ni pamoja na woga wa kuthubutu na kutojiamini kama wanaweza.Pia changamoto za fedha za ku publish vitabu n.k Hata hivyo ukweli...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Msaada vyuo vinavyotoa kozi za business administration kwa ngazi ya certificate

    Kwa yeyote anayejua chuo kizuri kinachotoa kozi ya business admnistration plz
  4. U

    JamiiForums Tanzania Hellow

    Asanteni nyote
  5. U

    JamiiForums Tanzania Hellow

    Nafurahi kuwa miongoni mwa members katika forum hii muhimu.
  6. U

    JamiiForums Tanzania Kitabu kipyaaaaaaaa

    Maamuzi Ya Uchungu Ya Kutotaka Mahusiano Tena Yamekuwa Ni Kawaida Kwa Baadhi Ya Vijana Siku Hizi. Lakini Pia Unywaji Wa Pombe Ni Tabia Ambayo ImekuwepoTangu Enzi Na Enzi. Aidha Utafiti Unaonyesha Kuwa Mtu Ambaye Anaishi Au Aliishi Na Wazazi Walevi Ana Uwezekano Mkubwa Wa Kuwa Mlevi Pia. Kwa...
  7. U

    JamiiForums Tanzania KITABU

Back
Top Bottom