we hamida kuna acyekufaham humu ndani kwa kushabikia vitu visivyo na msingi vyombo vya dola vipo chini ya serikali ukilijua hilo utajua baraka za kupiga risas znatoka wapi najua unayajua haya sema unatumwa kama paka anavyotumwa kuroga.
kwanza Mwigulu anawaita wana iramba dar es salaam km wana iramba wana akili asingejitokeza hata mmoja kwani iramba iko Urafiki?? Mwigulu ni mbunge wa iramba mwenye makazi yake Dar ndio maana anatoa kauli za ajabu akiamini watu wanayaona ayafanyayo na kaamua kuwaita wana iramba kaangalia upepo...
kwanza Mwigulu anawaita wana iramba dar es salaam km wana iramba wana akili asinhejitokeza hata mmoja kwani iramba iko Urafiki?? Mwigulu ni mbunge wa iramba mwenye makazi yake Dar ndio maana anatoa kauli za ajabu akiamini watu wanayaona ayafanyayo na kaamua kuwaita wana iramba kaangalia upepo...
hivi we hufkirii we kaa fanya kaz za maendeleo uone km utaendelea unaotakiwa kufanya nao kazi ndo wameathirika na madawa hata barua isingekuja serikali ya CCM haina maana ndo wanahusika moja kwa moja
we lizabon acha kujidai we ndo msemaji wa polisi nawe umo nini km unapewa hela sema, unakuwa km huoni kwel Tanzania ujinga unaletwa na ninyi msio na akili ya kujiongeza unapewa hela unafurah unatetea km we ndo Nape!!
wewe huna akil uuzaji wa unga unafananisha na usagaji?? unajua madhara ya unga wewe usagaji na ushoga ni masuala ya binafsi ndio ila madawa ya kulevya ndo yanatumika kuua kuiba na yanatesa innocent people
serikali inaongozwa na chama gani?? hao ndo wenye mamlaka ya kuzuia hili lakin ndo wanaotajwa kusambaza huo unga CCM wauza unga we angalia mali walzonazo kuna watu wanamiliki nusu ya bajet ya nchi
jeshi lenu jeshi gani kama upelelez ungefanywa mapema kabla unga haujafika kote huko acheni ujinga wauza unga ndo hao hao. anamiliki vitu vya gharama kwa hela gan?? amka wewe toa tongo tongo machon
kwa jinc mnavyowasakama chadema mngeshakamata km kwel wanafanya hiyo biashara CCM czan kwa madawa km kuna ataepona hiv kwanza na akil yako ungejiulza serikali hii ni ya chama gan na unga unaingiaje ujue chama serikali dhaifu ndo inaruhusu huo unga kupita hata uwe wa mbowe au wa slaa CCM WAUZA...
Henry Kilewo Mungu akupe ujasiri ukweli ukapate kusimama ni njama tu ya CCM ya kusahahulisha mabomu ya Arusha tunakuombea c vita yetu si ya damu na nyama
mwanangu unalipwa kinoma kwa kushabikia CCM lakin poa huna elimu ufanyeje sasa. CCM wenyewe kwa wenyewe mnauana mnatshiana maisha mara muwekeane sumu kumbuka yalowapata mwakyembe na mwandosya ndo mshindwe kummwagia mwenzenu tindikali!!?? kwa hili mmeshndwa tafuten au fufueni kosa lingine ILA...
wewe huna akili unachukulia kuwakilishwa ni kupeleka hoja bungen mkazpge danadana sababu wapinzani wapo wachache. lazma kama mbunge ushiriki katika shughuli za kijamii wako matured ndo maana wanaona bora wakaendelee kuwatumikia wananchi kuliko kukaa bungeni kubshana na majitu yacyo na akili
how can they represent you while there are other people suffering?? do u know how to represent?? u will continue making conversation while people are dying u can't b serious dick head!! go to hell and ---- urself
hamna tatzo Lema ni janga la wala rushwa wauaji na wadhulumaji ardhi za watanzania we HAMY D hivi una akil kwel unataka nan aje akusaidie kuikomboa nchi yako inaezekana huna elimu hata kidogo dats y unarely kwenye ushabik sio reality Lema ni chaguo la wengi na chaguo la wengi ni chaguo la Mungu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.