Recent content by Uncensored

  1. Uncensored

    JamiiForums Tumeachana kwa maneno makali na matusi juu, vipi kuna chance ya kurudiana baadaye?

    Kwanza pole, pili kaza moyo. Kurudiana mnaweza ila ikitokea mkarudiana ujue huyo ni demu wa matirio anafata mahitaji yake muhimu kwako na sio mapenzi. So mkirudiana na wewe akili mkichwa. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Uncensored

    JamiiForums Pete ya uchumba

    Nataka kuwe na sherehe. Nachotaka kujua ni lazima ihusishwe familia au tunaweza kufanya bila family, tukiwa na marafiki na jamaa pekee? Post sent using JamiiForums mobile app
  3. Uncensored

    JamiiForums Pete ya uchumba

    Hi every one, Ninahitahi kufanya party ya kumvalisha pete ya uchumba girlfriend wangu. Tatizo linakuja ni kuwa sijui nianzie wapi na nifuate tararibu zipi. Kuhusu familia tushatambulishana, nachotaka ni engagement tukiwa tunajiandaa kwa ndoa. Nawasilisha kwenu wana JF. Asanteni. Post sent...
  4. Uncensored

    JamiiForums Onyo kali kwa vijana wanaotarajia kujiunga na vyuo vikuu nchini Tanzania!!

    Mtoa maada umepuyanga, Suala la ubora wa elimu ni mwanafunzi mwenyewe. Toka Secondary unaambiwa mwalimu ni 25% na 75% ni wewe mwenyewe. Mimi nasoma NIT na ninachokiona hapa wanafunzi wengi wamekuja chuo na stori za advance kuwa maisha ya chuo ni BATA . Ukweli chuo degree haichukuliwi kama wengi...
Back
Top Bottom