Recent content by unbridled Savagery

  1. unbridled Savagery

    JamiiForums Tanzania Je, kuna aliyewahi kupona chronic gastritis & GERD (ACID reflux)? Naomba msaada

    naomba nikucheck WhatsApp bro. Number yako tafadhali
  2. unbridled Savagery

    JamiiForums Tanzania Je, kuna aliyewahi kupona chronic gastritis & GERD (ACID reflux)? Naomba msaada

    sa sawa sawa nashukuru nitafuatilia
  3. unbridled Savagery

    JamiiForums Tanzania Je, kuna aliyewahi kupona chronic gastritis & GERD (ACID reflux)? Naomba msaada

    Habari zenu wana jukwaa. Mimi ni kijana wa kiume nina changamoto ya maradhi (chronic gastritis & acid reflux) mwenye ufafanuzi naomba anisaidie BACKGROUND Nimekua nikisumbuliwa sana na tumbo ever since nipo mdogo sana. Tumbo limekua ni kitu kinachonisumbua na kuniumiza sana kana kwamba likianza...
  4. unbridled Savagery

    JamiiForums Tanzania Hivi cooperative officer II wana maisha kweli?

    kiwango cha mshahara ni kile kile tu TGS. Kwa sisi tunaowania kombe hizo za Utumishi tunaingia kwa grade II salary ni 865k. Ukijitahidi saana kupangwa labda uende TCDC ila apart from hapo naonaga wengi kwenye mikeka ya kazi huishia halmashauri tu. Sijui sasa kuhusu maslahi mengine kama sitting...
  5. unbridled Savagery

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni kujua kiwango cha mshahara wa hii scale ya TRSS 6.1 (Ofisi ya Msajili wa Hazina)

    position gani? Kama ni hizi za entry level mfano economist II, accounts officer II mshahara si known tu wazee? Hata google wame disclose. Viwango vya mshahara serikalini mbona vinajulikana tu. 6 figure always kwa hizi grade II (800kS). Sema kuhusu pesa za diem, allowances, trip, seminar &...
Back
Top Bottom