Recent content by unantaka

  1. U

    JamiiForums Tanzania Utaratibu na Ratiba za kumjibu Joseph Sinde Warioba kutokana na Press yake leo

    Hakuna taifa ambalo halina wazee,vijana huongozwa na tamaa na wazee huongozwa na hekima,Mimi ni ccm lakini sioni alipokosea Mzee warioba,usingekuwa mtu wa kutaka sifa ungemuelewa
  2. U

    JamiiForums Tanzania Nina mtazamo tofauti kwenye tukio la kutekwa Kwa Abdul Nondo

    We una shida sana,kwani Kila mtu anapenda ndege, Mimi mfano sipendi ndege Wala boti ingawa ninapesa ya kupanda hivyo vitu,kingine mkuu kwanini unqsaport haya mambo,labda tu uwe upande wao,hakuna binaadamu anaewapenda mbu,maana Wana wadhuru binaadamu wote,sasa we mwenzetu kulikoni? Tulionee hili...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu Chadema Jeshi la Polisi halina siasa, Niffer na Diva wana siku ya pili leo wako lock up, mngekuwa nyie mko Lock Up hadi leo kelele kibao

    Nchi itachelewa sana kusonga hii, utafananishaje, hivyo vitu 2 kwa pamoja?
  4. U

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa St. Doroth (Tabora) ashtakiwa kwa kumnajisi Mwanafunzi wa Darasa la Pili

    Hizi issue hizi zinakaaga kimchongo mchongo sana,siyo ka natetea,hapana ila Kuna wazazi ambao akili zao wakati mwingine husingizia walimu matendo haya kama kisasi baada ya kutofautiana kimtazamo au kwa jambo lolote na shule,na ukichunguza sana utakuta ni single mothers wengi ndo wenye matatizo...
Back
Top Bottom