Recent content by Unai Emery

  1. Unai Emery

    Mapato Yanga yalikuwa Bilioni 17.8, matumizi Bilioni 17.3 chenji ni Milioni 500, Mmh!

    Tumepigwa,yaani mauzo yote ya jezi ni tumilioni mia tatu tu....
  2. Unai Emery

    Prize money for some African Leagues

    Prize Money for Some African Leagues! Nigeria 🇳🇬 Premier League Winner N100 Million ($216,037) South Africa 🇿🇦 PSL Winner R15 Million ( $800, 565) Morocco 🇲🇦 Botola Winner MAD 3 Million ( $296,280) Egypt 🇾🇪 Premier League 2million EGP, 500,000 AED Tanzania 🇹🇿 Premier League Winner...
  3. Unai Emery

    Hivi Yanga huwa mnawapa nini hawa vijana mara tu wanapojiunga nanyi?

    Huyu dogo simkubali hata kidogo
  4. Unai Emery

    Leo tucheze mchezo huu

    Kwahiyo hata PM hujui ???
  5. Unai Emery

    Weka hapa utabiri wako wa tuzo za TFF

    Huyo babu saidi amekifanya nini mpaka awe mchezaji bora labda kama ni utani,tuzo zote hizo anabeba mayele
  6. Unai Emery

    Leo tucheze mchezo huu

    Nijibu PM basi,mbona kimya umenikaushia!!!
  7. Unai Emery

    Leo tucheze mchezo huu

    Shadeeya Fungua pm haraka nna jambo
  8. Unai Emery

    Leo tucheze mchezo huu

    Fungua PM nina ujumbe wako best wangu
  9. Unai Emery

    Yanga wako serious kumtaka Khama Billiat

    Yanga wako serious kumtaka Khama Billiat...Ni mchezaji mzuri sana! Hakuna shaka juu ya uwezo wake, kama atafikia asilimia 50 tu ya uwezo wake ninaoujua atasumbua na kuimbwa sana! Changamoto ya nyota huyo wa Kimataifa wa Zimbabwe ni majeraha ya muda mrefu... Tangu akiwa Mamelodi Sundowns...
  10. Unai Emery

    Simba wafanikiwa kumrubuni Feisal Salum

    Inasemekana msimu ujao atachezea Simba SC huku jambo lake likiendelea kutafutiwa ufumbuzi. Nimeumia sana, bora angeenda kuchezea hata Azam FC ila sio kwa Simba.
  11. Unai Emery

    Hii ndio sababu ya sisi Yanga kutojumuishwa African Super League ingawa tuna sifa ya kuwemo

    Acha bange mambo ya kibu yanaingiajenhapa? Yanga SC 1. Dodoma jiji 0 Woyoooooooooooooooo
  12. Unai Emery

    Hii ndio sababu ya sisi Yanga kutojumuishwa African Super League ingawa tuna sifa ya kuwemo

    Hii ligi ina pesa nyingi wewe acha masihara, washiriki wanapewa 5b kila mmoja. Bingwa anapewa 23b
Back
Top Bottom