Recent content by Umuzukuru

  1. Umuzukuru

    Msaada kuondoa kulipa simu ya mkopo

    Nida yako si wanayo? Sasa cheza wakucheze👽
  2. Umuzukuru

    Marais huwa wanaenda Vatican kumtembelea Papa kwa ajili gani? Mbona hawaendi kwa wakuu wengine wa Dini?

    Katika hii Dunia hakuna kitu kiachoitwa uhuru,uhuru wanadamu tuliukataa tangu pale Eden... Lakini Mungu ni mwenye Hekima na upendo usio na mipaka na wa kustaajabisha,hakutunyang'anya uhuru huo Moja kwa Moja na kwa kukoma. Hivyo mwanadamu utakuwa chini ya Sheria kuu mbili tofauti...Sheria ya...
  3. Umuzukuru

    Bado haitoshi?

    BINAFSI siamini katika favour,lugha ya biashara ndio yenyewe kwamba ili mwisho wa siku kila Mmjoa Lazima ale
  4. Umuzukuru

    Nahitaji management

    Dau mezani
  5. Umuzukuru

    Nahitaji management

    Ni music mkuu unataka niweke lyrics sio?
  6. Umuzukuru

    Bado haitoshi?

    Habari wakuu wa jf Katika pita pita zangu huko na huku nimekutana na content fupi ikielezea kuhusu marketing hasa kwa upande wa wasanii Wanaojitafuta Kuna vitu kwa uchache tu vimeeoezwa na miongoni mwa vitu hivyo ni CONNECTION Sasa je hizo connection mtu unapata wapi na kwa sasa Kuna hii...
  7. Umuzukuru

    Nahitaji management

    Habari ndugu Wana jf Kama kichwa Cha habari kinavyojinasibu,ni muda sasa wa kuwa na management ili kuweza Kupiga hata nyingine mbele Reference https://youtu.be/VK7hmI2f0nM?si=llacND976UlR3kLR Natanguliza hongera
  8. Umuzukuru

    Hivi inakuwaje mtu ambaye mli-have a great time akaacha kukutafuta ghafla?

    Hizi comment sio za kawaida🥴🥴🥴😁
  9. Umuzukuru

    Watoto hawaimbi nyimbo za Sunday school na Kaswida tena, mdau alalama akitoa maoni dira ya taifa 2050

    Uwajibikaji unaanzia kwa mwananchi na sio viongozi wa kisiasa tu,na kutolikhua jambo muhimu kama hili ni kosa la ukwepaji wa majukumu(kutowajibika)
  10. Umuzukuru

    Kaomba kufundishwa program ya FL studio

    Anza na YouTube humo kuna kila kitu kuhusu production mkuu,hadi music theory utvikuta humo Baadhi ya channel za kuanza nazo hiz
Back
Top Bottom