Recent content by UMULKHEIR

  1. UMULKHEIR

    JamiiForums Tv imaan

    Habari.nataka kujua je tv imaan imeanza kufanya kazi?
  2. UMULKHEIR

    JamiiForums Natafuta mtaji wa biashara.

    Natafuta mtaji wa biashara ili nijiajiri.mi ni msichana kwa sasa nafanya kazi ya kuuza duka,natoa huduma ya mpesa,tpesa ,vocha za jumla na pia napiga passport size.kinachonikatisha tamaa hela ninayolipwa ni ndogo sina cha maana ninachofanya nina mwaka wa saba sasa.natamani kufungua biashara...
  3. UMULKHEIR

    JamiiForums Natafuta mtaji wa biashara

    Natafuta mtaji wa biashara.natamani kufumgua biashara ili nijiajiri.aliyetayari tuwasiliane.
  4. UMULKHEIR

    JamiiForums Natafuta msaada wa mtaji

    Natafuta mtaji wa biashara ili niweze kujiajiri.nafanya kazi ya kuuza duka na vocha za jumla pia natoa huduma za mpesa na tpesa.nimefanya kazi muda mrefu lkn sina cha maana nilichofanya kutokana na mshahara ninaopata.natamani kujiajiri lkn sina pesa,matarajio yangu ni kufungua biashara ya...
  5. UMULKHEIR

    JamiiForums Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

    Mwenye kufaham dawa ya vidonda vya tumbo.hasa za asili anijuze!
Back
Top Bottom