Recent content by UMU SIZAKI

  1. U

    Wabunge wa Tanzania na siasa za kinafiki kuhusu Mahakama ya Kadhi

    Mtoa maada unajua maana ya Maswala ya kitaifa?? Issue ya mahakama ya kadhi ni swala la Bakwata kumbuka sio waislamu wote wanaitambua Bakwata kwa hiyo hii ni ishu ya kikundi cha bakwata sio swala la kitaifa.Pili kujadili maswala yanayo husu dini bungeni ni kinyume cha katiba. Tatu hata...
  2. U

    Nakusalimia Nape na nakupa ujumbe wa wazi kwako

    Mtoa mada utakuwa umeshiba wali, wewe utakuwa miongoni mwa wachungaji walienda kula wali,unatetea nini sasa kama unaakili ifike wakati watanzania tupunguze njaa, umepewa wali unakuja tetea upuuzi unaandika makala ndefu pumba tupu. Hiyo strategy ya kupikia watu wali afu mnasema wamekuja kumuomba...
  3. U

    Sheikh wa Wilaya Bagamoyo amkana Lowassa

    Lowasa atafute muandika script mwingine huyu wa sasa hana viwango FILAMU zinakosa uhalisia, aibuu Yao. Kama m2 anasifa maigizo ya nini jamani????? Candidate wa namna hii hana nia njema na taifa letu, hutakiwi kufanya maigizo ili uchaguliwe, na anae engineer hii mipango ni kilaza wa mwisho.
  4. U

    Wanafunzi Vyuo Vikuu kuandamana kumshawishi Lowassa Kuchukua Form ya Urais

    Hizi filamu wanazo tengeneza hazita msaidia kama anasifa asubiri muda tu, hizo ni dalili za kutojiamini na kutokuwa na sifa.
  5. U

    Kwa lipi Lowassa apewe nchi?

    Edo hana afya ya kuongoza nchi,mnaompigia chepuo awe raisi kwa nini msimshauri akapime afya kwanza.itakuwa jambo LA ajabu kama tutamchagua MTU mgonjwa kuwa rais.
  6. U

    Polisi: Tumezuia maandamano ya CUF kutokana na silaha zilizoibiwa Ikwiriri Rufiji

    Inamaana cuf ndio wameiba silaha hizo??
Back
Top Bottom