Recent content by Ummu Aym

  1. Ummu Aym

    Simulizi ya kijasusi: Shetani Rudisha akili zetu na mke wangu

    Singano upo mdogo wangu!? Heri ya mwaka mpya!
  2. Ummu Aym

    Simulizi ya kijasusi: Shetani Rudisha akili zetu na mke wangu

    😂😂😂😂😂
  3. Ummu Aym

    Simulizi ya kijasusi: Shetani Rudisha akili zetu na mke wangu

    Shukrani sana singano Ubarikiwe!!
  4. Ummu Aym

    Kazi za Hotelini Zanzibar

    Msikiti wa forodhani kwa pembeni ukifika unakuta mafundi wapo wengi tu pale
  5. Ummu Aym

    Kazi za Hotelini Zanzibar

    Ni kujibana tu atafanyaje sasa!? au aende kwa wamorocco elf 15 kwa siku
  6. Ummu Aym

    Kazi za Hotelini Zanzibar

    kama una manguvu yako nenda forodhani pale jengo la baituljaib kuna kazi pale za ujenzi kwa siku nahisi elf 13000 kikubwa uwe namdhamini wako
  7. Ummu Aym

    Simulizi ya kijasusi: Shetani Rudisha akili zetu na mke wangu

    Singano jr ukitoa nilimdhania kahaba naomba unitag kwenye riwaya zako nyingine ulizopost humu tusogeze siku!
  8. Ummu Aym

    Watu tunalia na vifurushi vya NHIF Mtibeli amegundua bima ya elfu 40 , naipataje wadau ?

    Usijaribu kukata hiyo bima ya chf unatibiwa Zahanati ndogo tu hospital za rufaa hawazipokei! Mi shuhuda mdg wangu alilazwa na vipimo vyote kuanzia utrasound tulilipia
  9. Ummu Aym

    Simulizi ya kijasusi: Shetani Rudisha akili zetu na mke wangu

    Humu kimyaaa! Singano jr tupe basi episode ya kusogezea siku🙈🙈🙈
  10. Ummu Aym

    Hatimae leo wamekubali kwamba zanzibar ni mkoa

    Na kuna kikosi cha kvz
  11. Ummu Aym

    Simulizi ya kijasusi: Shetani Rudisha akili zetu na mke wangu

    Shukrani saana Singano jr sema hujataka kabisaa kusema mzigo utashuka lini tena!! Ni mwendo wa kuchungulia tu kila siku 😂😂😂😂
  12. Ummu Aym

    Simulizi ya kijasusi: Shetani Rudisha akili zetu na mke wangu

    Sijui tutafika lini huko francee maana ndio kwanzaa tupo milimani moro😔😔😔😔
  13. Ummu Aym

    Simulizi ya kijasusi: Shetani Rudisha akili zetu na mke wangu

    Shukrani saana! Namuombea hamza atoboe jamani!
  14. Ummu Aym

    Simulizi ya kijasusi: Shetani Rudisha akili zetu na mke wangu

    @singanor mdg wangu fanya chochote kitu! Shunie popote ulipo
Back
Top Bottom