Wabongo hawanaga akili kabisa.
Nawashangaa sana.
Badala ya kuangalia vya maana wanaanza kukosoa ujinga.
Wamesahau kuwa polisi hao hao ndio waliweka hali shwari Kibiti na mpkn mwa Mtwara.Wameshasahau polisi hao hao ndio walioleta hali ya utulivu nchini.
Wanashindwa kupima tukio limetokea kwa...
Mh ndugu taratibu.
Unatakiwa uangalie je Tz ni nchi ilopitia matokea haya mara ngapi na imezoelekaje mazingira yake?
Tz imezoeleka nchi ya amani ndugu na ndio maana hata tukio km la jana limesumbua kwasababu jeshi letu lime relax kulingana na hali ilokuwepo nchini.
Jiulize mbn USA walishindwa...
Sikulaumu hayo ni mawazo yako ila tambua bunduki km AK47 au SMG hawashiki askari wa kawaida angalia yule jamaa alishika silaha ya aina gani na kawaida maaskari hutumia silaha ya aina gani.
Halafu angalia Tanzania ni nchi ya aina gani. Hii nchi ilizoea amani na tulikaa muda mrefu hatuna bugudha...
Kumbuka Iran naye ana allies km US allies wake ni Lebanon Hizbollah na nchi zingine za kishia.Halafu Iran usidhani backup yake ni kutoka Russia yeye mwenyewe pia anajiweza kiteknolojia ya kijeshi uelewe hilo.
Iran anajiweza.Na ndio maana Saudia, UAE na Bahrain wanaogopa kumfanya lolote kwasababu...
Yan umeitaja na China km vile China ni nchi ya kawaida ilhali China ndiye anayemnyima usingiz USA in all aspects km hujui.
Iran kupasuka labda wananchi waandamane na kumtoa kiongoz wao madarakan kwa mikono yao km ifanyavyo Yemen Ila sio washirikiane na US km walivyofanya Libya maana usidhan km...
Kuna kusoma na kuelewa.
Mwenye akili timamu huelewa kile alichokisoma ila mpumbavu huwa anashindwa kuelewa kile akisomacho .
Rudia kusoma uelewe ndio uquote .
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah jamaa simpendi kiukweli.
Yani hakuna mambo ya msingi anayoongea yeye ni upuuzi tu hata Jokate anamshinda.
Huwa nawaza hv Magufuli anamwachia nn huyu jamaa??
Nashukuru Mungu kuna mwanasheria alisema Idris hana kosa na atamtetea na akamsema Makonda aache kukurupuka na kutafuta sifa.
Nimemsifu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.