Kila kona analalamikiwa yeye kwa mfano mimi ni muhanga wa huyu mzee kulipwa pesa zangu hadi nifikishe miaka55 nami ninamiaka 27 how comes nam nilitaka kujiendeleza kielimu na hiyo pesa huko nikukurupuka vijana wawatu wenye maisha ya kimasikini wanafukuzwa chuo bila hatia je hyo ndo kauli ya...
Hapo ndipo tujue kuisoma barua ikiwa ndani ya bahasha uongozi wahitaji hekima na busara mtoto hata kama haumpendi usimtenge akajua kuwa baba hanipendi akujua atageuka kuwa muasi kwako
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.