Recent content by ulelema

  1. U

    PAC ilivyowajaza hasira wananchi

    Mkuu, nilipwe fedha hizo kama nani? Mimi ni mzalendo ninayezingatia ukweli. Kwa nini tunapenda kukwepa ukweli na kupakaziana mambo ya ajabu. Tukisimama kwenye ukweli tutaona kwamba wahuni wachache walikuwa wanajitafutia sifa kwa kuzusha mambo na kuitikisa nchi pasipo na sababu yoyote. Huo ndio...
  2. U

    PAC ilivyowajaza hasira wananchi

    Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) iliwajaza hasira wananchi pale ilipotoa taarifa potofu bungeni kuwa fedha zilizokuwa kwenye Akaunti ya Escrow ya Tegeta zilikuwa zimechotwa. Wananchi walikuwa na haki ya kujawa na hasira kwa sababu walilishwa taarifa iliyoonyesha kuwa fedha zao (za...
  3. U

    Laiti wananchi wangeisoma ripoti ya CAG mapema

    Mkuu, hili sio swala la CCM au Ukawa; tunajadili facts. Haiwezekani tuachie watu wakurupuke na kuwapakazia wengine kuwa ni wezi. Wamemuibia nani?
  4. U

    Laiti wananchi wangeisoma ripoti ya CAG mapema

    Ni kawaida ya watu wasio na kitu kichwani kukimbilia matusi. Njoo na hoja hapa tukuchape.
  5. U

    Laiti wananchi wangeisoma ripoti ya CAG mapema

    Kwa mara nyingine nimegundua werevu wa JK. Aliwaambia Watanzania waisome ripoti ya CAG kabla hajatamka lolote. Lakini badala ya kusoma watu wanaimba suala la wizi au uchotaji wa fedha kutoka akaunti ya escrow. Wametoa wapi taarifa hizo? Upotoshaji huu unaweza kuipeleka nchi kubaya.
  6. U

    Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni

    Ni kweli, huyo bwana ni miongoni mwa wazalendo wanaowawezesha sana watanzania wegine kupitia misaada ya kijamii. Ni vema wanaomtuhumu wakafuatilia historia yake kwani watagundua kwamba amewasaidia watu wengi sana, hasa pale anapogundua kwamba misaada ile inalenga kuendeleza jamii. Si haki...
Back
Top Bottom