Huo ni ubaguzi mbona nyinyi mmejaa huku mnauza mikate ya bofulo,ubuyu na urojo na hatusemi kuwa nyinyi ni wazanzibar??hatuwabagui tunajua ninyi ni wenzetu..Acha ubaguzi
kufuzu kwetu ni kushinda mechi ya leo timu hizo mbili chini yetu hazitafikia point zetu vinginevyo lesotho naye nafasi atakuwa nayo.kumbuka kila timu inatakiwa icheze mechi 6
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.