Ila wewe nasikitika sana kukueleza kuwa hicho kichwa kimejaa mav. tu. Nani alikuambia kuwa wawekezaji wanakuja na pesa kutoka nje. kwa taarifa yako wawekezaji wanadhaminiwa na serikali wakati mwingine halafu munawaita wawekezaji wa nje. Kweli itatuchukua muda mrefu kujikomboa kifikira wa...
ila wewe jamaa ni mav. kweli hizi shida zitatusumbua kweli. kweli umaskini ni tatizo unaweza hata kuuza utu wako kutetea au kuponda hata vitu visivyoponeka. punguza njaa kaka anaglia utaolewa.
Niliwahi soma siku moja humu ndani kuwa wewe jama ni hayawani sasa nimeamini ni kweli hayawani. Hivi mtu mwinginea akitumia helcopter na mwingine gari unakuwa ni ubaguzi. Sasa kama helcopiter ipo moja na wote wanakwenda sehemu tofauti tofauti wangefanyaje. kaka acha kutumika kama condom.
Ila na wewe sasa ukina mtoto anapiga kelele basi ujue sindano imeingia tayari. Sasa wewe unauona umzigo wa hao wapinzani lakini huoni umzigo wa serikali yako ya CCM. Kweli humundani tunavichaa wengi.
Kuna rafiki yangu hapa Mbeya aliwahi kuniambia kuwa wewe unaufanyia mwili wako ujasiriyamali nikafiriki ameamua kukuumbua kwa sababu umeenda CCM sasa nimeamini kuwa wewe kweli ni Changu Do. hay dada endelea na biashara yako hiyo hatuna uwezo wa kukufanya kwasababu ni mwili wako na unamamalaka nao.
hivi wewe msalani hujui kuwa watanzania wanafanyakazi sana lakini ccm ndio wanaokula pesa zetu anagalia kila mwezi tunakatwa kodi lakini maendeleo ni kidogo sana bali nikujaza mifuko ya wakubwa na watoto wao tu
Ndugu zangu naona mumeshasahau kuwa Asikofu mtetemela kuwa ni kada wa CCM na aligombea ubunge jimbo la Dodoma mjini kupitia CCM na akashindwa kwenye kura za maoni.
Ni kweli kaka hapo tulipofika ni pazuri sana. Ni suala la wakati tu Watanzania wategemee mabadiliko makubwa sio muda mrefu. maana ukiona hivyo ujue maji yamefika shingo. Mfa maji huyashika hata maji yenyewe ingawa hayashikiki
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.