---------------
Egnecious anasema...
Fahamu sababu wabunge Mdee, Mnyika na Kubenea kuondolewa ofisi za DC Kinondoni
Kumekuwepo na taarifa inayosambaa kuwa Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Ally Hapi amewafukuza kwenye ofisi zake wabunge Halima Mdee (Kawe) na Saidi Kubenea (Ubungo). Baada ya kufanya...
BARUA YA WAZI KWA MHESHIMIWA RAIS JOHN POMBE MAGUFULI.
Barua hii imeandikwa na Mjasiriamali Carol Ndosi.
__________________________________________
Mheshimiwa Rais wangu mpendwa Dr John Joseph Pombe Magufuli, Shikamoo.
Natumai ni mzima wa afya na unaendelea kutimizia wajibu wa kazi ya...
Kwahiyo kipindi anampigia kampeni dikteta uchwara mlikuwa hamuumjui sahizi amewageuka na kujirudi ktk utu na Utanzania kwanza kuliko kumuabudu mtu mmoja mnaanza ooooh tunamjua huyu fyuuuuu!
Andiko hili ni zito, limeandikwa na Evarist Chahali, Ofisa Usalama wa Taifa wa Zamani. (LISOME KWA UTULIVU).
_______________________________________
Kila Mwenye Mapenzi Ya Dhati na Tanzania Amwambie Magufuli "Unaipeleka Nchi Kusikofaa"
Tarehe 18 Februari 2018.
Nianze makala hii kwa kutoa...
Pumbavu wewe hiyo mkurugenzi wa uchaguzi angefuata taratibu maandamano yangekuwa ya mini! Pia je unajua ni wakati gani polisi anaruhusiwa kutumia risasi za moto au unaharisha tu hapa unyoko wako.
Hivi hii operation inahusu Tz pekee ama ipo pia Kenya na Uganda? Maana rasilimali za ziwa Victoria tuna share na hizi nchi sasa tunawafilisi watu wetu wakati wenzetu wananchi wao wanaendelea kufaidi ziwa hilo hilo au kuna mpaka wa kuzuia samaki upande wa Tz wasiende nchi nyingine ndani ya ziwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.