Recent content by ukweliusemwekweupe

  1. U

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa 4.5m Chanika Buyuni

    KIWANJA KINAUZWA KIPO CHANIKA BUYUNI KINA MITA 20KWA25 BEI MILIONI 4,500,000 PIGA 0723057669
  2. U

    JamiiForums Tanzania Nyumba 2 kwa pamoja zinauzwa mil 49 kivule

    SASA NI MILL. 49 TUU!! Kama unapenda Nyumba zenye maeneo Makubwa ya kujinafasi njoo uchukue hii.👇👇 👉NYUMBA zipo Kivule wilaya ya Ilala mkoa DSM, Nyumba zipo mbili eneo moja Nyumba kubwa inavyumba vitatu vya kulala kimoja master, nyingine ni chumba na sebule na master yake. 👉Eneo Lina ukubwa wa...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Ilala Majohe kuna kalavati dogo linaweza kuleta mafuriko kama Elinino ikija

    habari serikali tusaidiane jamani tutapata majanga njoeni mbadili hili kalavati ni dogo maji ni mengi yanayopita eneo hili mvua ikinyeshaga ndogo tu maji yanajaa kwenye nyumba za watu sasa elinino ikija si watasombwa watu? mkoa ni dar es salaam wilaya ilala kata majohe njia unaingilia gongo la...
  4. U

    JamiiForums Tanzania KERO Majohe maduka sita darajani kalavati ni dogo maji yanajaa kwenye nyumba za watu

    Habari Mkoa wa Dar es salaam, Wilaya ya Ilala, eneo linaitwa Majohe maduka sita ukiwa Gongo la mboto unapitia njia ya chuo cha Kampala kama unaenda chuorada kuna kituo kinaitwa maduka sita kua kalavati limewekwa dogo mvua ikinyesha kidogo tu maji yanajaa kwenye majumba ya watu kiukweli ni...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Nauza kiwanja Kivule Center Ilala Dar Es Salaam Heka 1

    sold out
  6. U

    JamiiForums Tanzania Rais Samia azungumza na aliyekuwa Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia

    📍MAMA KAZINI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na aliyekuwa Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia anayesimamia nchi za Malawi, Tanzania, Zambia na Zimbabwe, Bw. Nathan Belete, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 18 Mei, 2026. Bw. Belete...
  7. U

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia aunda Tume ya Uchunguzi wa Kijinai wa Matukio ya Ghasia za Uchaguzi mwaka 2025

    📍MAMA KAZINI Rais Samia Suluhu Hassan ameunda Tume ya Uchunguzi wa Kijinai kuchunguza matukio ya ghasia yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025. Tume hiyo itaongozwa na Jaji Shabani Ally Lila, ikilenga kubaini ukweli na kuimarisha amani nchini. . . . @ikulu_mawasiliano...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaendelea kuwa kitovu cha Utawala Bora Afrika, Kikwete apokea wataalamu kutoka Somalia kuja kujifunza Utawala Bora

    Tanzania imeendelea kuimarisha nafasi yake kama kitovu cha mafunzo ya utawala bora barani Afrika baada ya kupokea ujumbe wa wataalamu 25 kutoka Somalia kwa ajili ya mafunzo maalumu ya uendeshaji bora wa utumishi wa umma. Akizungumza wakati wa mapokezi ya ujumbe huo, Waziri wa Nchi, Ofisi ya...
  9. U

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Lililotokea halikuwa jema kwa yeyote lakini walivyokamatwa kama mama nikasema waachieni. Yaliyotokea yametia doa kwenye Taifa letu

    #HABARI: Rais Samia Suluhu Hassan, amewataka vijana Watanzania kuilinda amani ya Taifa kwa kulindana wenyewe na kuonesha dunia kuwa yaliyokea Oktoba 29, 2025 hayatatokea tena. Amesema yaliyotokea Oktoba 29,2025 yalilitia doa Taifa hasa kwa kuwa inaaminika Tanzania ni nchi ya amani hivyo vijana...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Dkt. Migiro aimarisha ushirikiano kimataifa na mabalozi wa Cuba, Vietnam, na UN

    DKT.MIGIRO AIMARISHA USHIRIKIANO KIMATAIFA NA MABALOZI WA CUBA, VIETNAM, NA UN Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Asha-Rose Migiro, kwa nyakati tofauti amekutana na kufanya mazungumzo na mabalozi wawili wanaoziwakilisha nchi zao katika Jamhuri ya Muungano ya Tanzania. Mazungumzo...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Dangote aipongeza Serikali kwa kuboresha mazingira ya biashara na uwekezaji, pamoja na kutatua changamoto za wawekezaji

    #HABARI Mwenyekiti na Mtendaji Mkuu wa Dangote Group, Alhaji Aliko Dangote, ameipongeza Serikali kwa kuboresha mazingira ya biashara na uwekezaji, pamoja na kutatua changamoto za wawekezaji nchini. Katika taarifa iliyotolewa na Ikulu ya Tanzania baada ya Mfanyabiashara huyo kufanya mazungumzo...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Katibu Uenezi CCM, Kihongosi: Msiruhusu siasa kuingia kwenye maendeleo

    Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Kenani Kihongosi amewataka wananchi kutokuruhusu siasa kuingia katika maendeleo akiwasisitiza walinde miundombinu inayopelekwa na serikali. Kihongosi ameeleza hayo leo Mei 16,2026 alipotembelea na kukagua mradi wa...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwinyi aipongeza UVCCM kwa kuipa CCM ushindi

    DKT. MWINYI AIPONGEZA UVCCM KWA KUIPA CCM USHINDI MKUBWA UCHAGUZI MKUU 2025 Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amepongeza Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) kwa kazi kubwa na ya...
Back
Top Bottom