Imekuaje watanzia wamekuwa watu wapuuzi na kuupa upuuzi kipaumbele.
Kuna haya mashindano ya missgrand.
Kuna mambo ya miaka 30 ya bongofleva.
Simba na Yanga.
Kumfagilia niffer .
Na kusahau mambo ya katiba na viongozi wa CCM ndo wanapiga hela hapa maana wameona matanxania mapuuzi
Hello.
Kumeibuka wimbi la wadada wengi mjini Instagram kuwa na mafanikio ya haraka sana.
Umaarufu mdogo ndani ya mwaka mmoja au hata miwili unakuta tayari anamiliki gari nyumba bila kuwa na biashara wala shughuli ya kueleweka.
Je nini kipo nyuma ya pazia wakuu.
Mtandao wa Instagram IG kwa sasa michango imekuwa mingi sana na muhitikio wake sio mbaya ni mzuri tu.
Je hakuna Hali hasi inayojificha nyuma ya hiyo michango?
Watu kujinufaisha binafsi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.