Recent content by Ukwelimtupu00

  1. U

    JamiiForums Tanzania Show me your friends, I will show you your character!-Chivayo connection!

    Chivayo was conman💯
  2. U

    JamiiForums Tanzania Maswali 5 ya kujiuliza ktk Final submission ya Lissu

    Lissu ni akili kubwa. Sio poyoyo na hapendi Uchawa. UCHAWA ni kirusi cha afya ya akili.
  3. U

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa Madereva na Wafanyakazi wa mabasi wafanya mgomo Morogoro na Dar

    Madereva ni watu wazima. Wana hoja za msingi. Vyuma haviondoki mpaka muafaka ufikiwe.
  4. U

    JamiiForums Tanzania Dr Samia na Rais Mwinyi ni wazanzibari wakikutana kujadili maslahi ya muungano Tanganyika anatetewa na nani!?

    Huyo "Rais" wa Tanzania mpaka sasa ni kizungumkuti kwa kuwa aliapishwa mafichoni(mbali na raia) pamoja na "kutangazwa" kushinda kwa 98%.
  5. U

    JamiiForums Tanzania Mzee Wasira, kweli umenyimwa visa ya Marekani? 😃

    Inawezekana ni kweli. Ndio maana ana hasira sana na "mabeberu"😁😁
  6. U

    JamiiForums Tanzania Mwaipopo ni Muislam mwenye Misimamo Mkali, Mjinga asiyekua na akili , Mwenye Chuki na Ukristo , aliyeshindwa kujifunza Somo kupitia SHEIKH MAJINI .

    Yule sio SHEIKH. Ni tapeli aliyejificha ndani ya dini kwa maslahi ya waliomtuma. Bakwata kwa kuwa ni tawi la CCM hawawezi sema lolote dhidi ya mwaipopo.
  7. U

    JamiiForums Tanzania Hivi akitoe Samia akalifuta Kanisa Katoliki hapa Tanzania, kitatokea nini? Au ni kelele za muda, mwisho mnasahau?

    Aendelee tu, kwani kuna mtu amemzuia! Si alishasema yeye ni chura kiziwi na "serikali" yake si ya samaki
  8. U

    JamiiForums Tanzania Mwigulu naye kaanza kuzungumzia HAKI, hakujifunza kwa Nchimbi?

    Usidhubutu kumwamini mwigulu. Ni zaidi ya kinyonga.
  9. U

    JamiiForums Tanzania Nina uhakika 100% nyuzi zangu zinasomwa na wahusika sasa nawambia hivi anaemtuma Mwaipopo ni mpumbavu kama Mwaipopo

    Mwaipopo ni serial killer and sycophant 💯 HAKUNA SHEIKH PALE
  10. U

    JamiiForums Tanzania Sioni ni kwanini askari wasizime vurugu za Oktoba 29, 2025 kwa risasi. Ningewashangaa

    Hivi vyombo vya ulinzi na usalama hasahasa polisi na jeshi mkiendelea na trend hii ya kutumia nguvu nyingi na akili kidogo, mtazidi kutengeneza uadui na haohao raia mnaoishi katikati yao. Umeshafikiri madhara yake yatakuwa ni nini🤔
  11. U

    JamiiForums Tanzania Muhadhiri wa UDOM, Melkisedek Kaijage aachiwa huru, Apewa Masharti

    Nchi ngumu sana. Unaweza shitakiwa na kuachiliwa hapohapo vile DPP aonavyo inafaa akishirikiana na polisi.
  12. U

    JamiiForums Tanzania Sina huruma na askari toka washiriki kuua wananchi Oktoba 29

    Madaktari nao wakiamua "kuwadunda" polisi kwa njia za kitabibu si watapukutika kama sisimizi🤔
  13. U

    JamiiForums Tanzania Asili Halisi ya Mwenge wa Uhuru: Siri Yafichuka

    💯🎯
Back
Top Bottom