Recent content by Ukweli Usemwe

  1. U

    Hongera mfalme, lakini umepoteza fursa muhimu sana!

    Nilijua nachokoza nyuki. Wenye mfalme wangekuja juu. Halafu wasivyo na akili hawa wapambe wa mfalme wanajilinganisha na CCM. Kama mnataka muwe kama CCM mnasababu gani ya kuwepo? Hayo ya CCM ndio hatuyapendi na tulitaka upinzani uwe tofauti. Endeleeni kumshikia mfalme taulo huku mkimdanganya...
  2. U

    Hongera mfalme, lakini umepoteza fursa muhimu sana!

    Yes, harakati za uchaguzi ndani ya CHADEMA zimekamilika. Kwa maoni yangu uchaguzi huu ulifana katika style au tuseme presentation, ikiwemo mfalme Mbowe kuingia katika viwanja vya mlimani city kwa mbwembwe za helcopta, lakini maudhui ni zaidi ya aibu. It's simply horrendous! Katika karne ya...
  3. U

    Wakati wa Vijana CHADEMA umefika, ni maandamano nchi nzima

    Nani aandamane? Huyu mfalme anatoa matamko ambayo hata yeye hawezi kuyatekeleza!
  4. U

    Wapinzani wa CHADEMA wahaha kumdhibiti Mbowe uenyekiti

    Huo ni ufala uliopitiliza. Haiwezekani kila tatizo la CHADEMa mnaisukumia CCM. Basi hawa CCM wana akili sana!
  5. U

    Wapinzani wa CHADEMA wahaha kumdhibiti Mbowe uenyekiti

    Kama mnatamani mfumo wa CCM kwa nini muwe na chama kingine? Lakini Nyerere pia hakuchakachua katiba kama alivyofanya Mbowe!
  6. U

    Zitto: Wapambe wametufitini na Mbowe

    I kind of agree with you. Zitto amekuwa akimstahi sana Mbowe wakati mwenzake ametumia kila aina ya fursa kummaliza kisiasa. Angalau angeanza na hili dili la hela za Singasinga wa Escrow. Angeweka wazi kabisa jinsi Mbowe na cronies wake akina JJ walivyovuta mlungula ili watu wajue aina ya...
  7. U

    Zitto: Wapambe wametufitini na Mbowe

    Mmezoea mno wanasiasa vilaza akina DJ. Mkikutana na vichwa lazima mchanganyikiwe. Mtafia mbali wenywe na ujinga wenu.
  8. U

    Zitto: Wapambe wametufitini na Mbowe

    Msaliti wa nini sasa? Wewe mambulula ya CHADEMA kila mwenye mtazamo tofauti na DJ Mbowe ni msaliti. Sasa huyo DJ wenu ambaye amekula mlungula wa Singasinga wa Escrow na Zitto nani msaliti? Mwaka huu mtaumbuka sana!
  9. U

    Yanayojiri bungeni Dodoma: Jumanne tarehe 2 Septemba, 2014

    Kwa hiyo katiba ya maana, lazima ukawa wawepo bungeni. Ukisusa...
  10. U

    Mbowe: Mimi kisiki, anayetaka kujipima ubavu na mimi aje

    Ahaaa wapi. Kisiki baada ya kumfukuza mwanamume mwenzako Zitto Zuberi Kabwe? Unafanya mazingaombwe? Tangu uwe Mwenyekiti hujawahi kushindana, unapewa ushindi wa mezani. Wewe ni mwoga, huna chochote! Ungemuacha Zitto aingie kwenye uchaguzi angekuliza saa nne na nusu asubuhi. Wadanganye wajinga...
  11. U

    Chama kitatoa kauli upotoshaji wa Msajili wa Vyama

    Nadhani tumeshakuwa kubwa jinga. Tunafanya makosa ndani ya chama tunawasingizia wengine. Kila mtu anayetukosoa ametumwa na CCM. Pamabaf kabisa.
  12. U

    Msajili wa vyama vya Siasa Jaji F. Mutungi amzuia Mbowe kugombea uenyekiti tena

    Kwa hiyo ni rasmi kwamba Mwenyekiti alichakachua katiba ili aendelee kugombea. Dk Slaa aliwahi kututangazia hapa JF kwamba Katiba ya CHADEMA haijawahi kuwa na kipengele cha ukomo wa uongozi. Hatari!
  13. U

    Mwigamba ni CHADEMA au ACT? Kitu gani kinamfanya alalamikie Katiba ambayo haimuhusu?

    Alitoa malalamiko kabla ya kuhama CHADEMA na ndiyo sababu zilizomfanya afukuzwe. Kifupi ni kwamba imethibitika kwamba Mwenyekiti Mbowe alichakachua katiba ili aendelee kugombea. Hatari!
  14. U

    Viongozi wa ACT ni hawa vijana hapa Mchange na Nyakarungu ....Nyaraka ya msajili

    So what is the problem kama Mchange ni moja ya viongozi? Yeye sio mtanzania?
  15. U

    Maswi: Zitto na Kafulila ni washenz* na wala rushwa...! Asisitiza Kafulila ni 'tumbili'

    Kama unamdharau ni wewe nyang'au, sio kila mtu!
Back
Top Bottom